Na akiwa nao hasemi ataanzia dawa kimya kimyaWengine tunawasukumiziaga Michepuko ikapime
Unamuambia aje na majibu yakiwa na muhuri wa zahanati au aje nachi kipimoNa akiwa nao hasemi ataanzia dawa kimya kimya
Sasa wewe ulikuwa unatafuta nini hasa?Hapana mchezo wa kavu kavu niliustopisha kabisa. Ishu ilidate na binti Fulani halafu raia wakaanza kunitisha eti anatumia ARV ndo nikahangaika kupima Pima vile.
Baki njia kuu vinginevyo unakufa ukiwa hutaki.Yaani hizi nyuzi siku ukiwa na mechi nazo zinaibuka kwa kasi dah yaani nasimamisha mech leo kinyonge yaani dah[emoji22][emoji22][emoji22][emoji22][emoji22][emoji22]
Mzee Ruksa alisema ugonjwa ule umekaa mahali pabaya, mahala pale sote twapapendaVipi Mkuu uliuza Mechi nini?
Tunatishana sanaBaki njia kuu vinginevyo unakufa ukiwa hutaki.
😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀Mzee Ruksa alisema ugonjwa ule umekaa mahali pabaya, mahala pale sote twapapenda
SijaoaUmeoa/ umeolewa?
Dah nafarijika sana nikiona comment kama hizi,japo cjawahi kupimangoma hakuna wajameni rejeeni ile post inayosema..ukimwi ni uongo uloenezwa karne hii ya 21
Same hereKama hujui status yako na Upo vizur kiafya Kuna haja gani ya kupima ili ujipe stress!Mimi kupima naweza Ila kusubiri majibu ndio siwezi.....
Ndiyo tenaVipimo vinadetect?
Asee safi sana ...mi huwa najipima kuna ubaya?Ndiyo tena
Ukitaka vi detect uende ukatoe damu kwenye hospital kubwa kama Muhimbili
Unajipima mwenyeweAsee safi sana ...mi huwa najipima kuna ubaya?
Unamaanisha nini sasa mbona unanitisha?Unajipima mwenyewe
Kuna unachotafuta ipo siku utakipata
Ukipima VVU usiende maabara za mtaani uende kwa wale professional wale walipo Amref kule {Amref Health Africa in Tanzania - Amref Health Africa}Unamaanisha nini sasa mbona unanitisha?
Mpaka kujipima mkuu si ninakuwa najua nyendo zangu asee!Ukipima VVU usiende maabara za mtaani uende kwa wale professional wale walipo Amref kule {Amref Health Africa in Tanzania - Amref Health Africa}
Wanajiita amref international unapewa ushauri na kadhalika hadi raha hupati presssure yoyote
Acha kuropoka ndugu kama nimeonekana na uti basi hata ngoma ingeonekanaMkuu wewe tayari ...anza kabisa dozi ya ARV
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Acha kuropoka ndugu kama nimeonekana na uti basi hata ngoma ingeonekana