Maambukizi ya ukimwi

Maambukizi ya ukimwi

Hapana mchezo wa kavu kavu niliustopisha kabisa. Ishu ilidate na binti Fulani halafu raia wakaanza kunitisha eti anatumia ARV ndo nikahangaika kupima Pima vile.
Sasa wewe ulikuwa unatafuta nini hasa?
 
Yaani hizi nyuzi siku ukiwa na mechi nazo zinaibuka kwa kasi dah yaani nasimamisha mech leo kinyonge yaani dah[emoji22][emoji22][emoji22][emoji22][emoji22][emoji22]
 
Yaani hizi nyuzi siku ukiwa na mechi nazo zinaibuka kwa kasi dah yaani nasimamisha mech leo kinyonge yaani dah[emoji22][emoji22][emoji22][emoji22][emoji22][emoji22]
Baki njia kuu vinginevyo unakufa ukiwa hutaki.
 
Kama hujui status yako na Upo vizur kiafya Kuna haja gani ya kupima ili ujipe stress!Mimi kupima naweza Ila kusubiri majibu ndio siwezi.....
Same here
[emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom