WomanOfSubstance
JF-Expert Member
- May 30, 2008
- 5,457
- 963
Mi iwa nawaambia tatizo lenu jamaa akisha toa ofa kuwa anakuoa basi wewe cha kwanza kufuli unasema litafungwa mpaka siku ya harusi jamaa anavumulia siku ya harusi unakuta jamaa funguo yake ndogo kama peremende utakimbilia kwa nani na umeahidi mtaishi kwa shida na raha...
unapoenda kuwaambia wazazi kuwa umepata mchumba na pengine mwenzi ujao ataleta posa, swali ambazo wazazi wanauliza mara nyingi ni "umeridhika nae?".
Tafsiri ya hilo swali ni je umeisha jaribu kama kufuli na funguo zinaendana? kalagabaho!
Sasa Swali: Je kuna haja ya wanandoa watarajiwa, wanapokwenda kupima Ukimwi, washauriwe kucheck pia compatibility ya kufuli na ufunguo kabla ya ndoa? Labda itasaidia kupunguza kuvunjika kwa ndoa ambako sasa takwimu zake hazileti matumaini.
Itabidi ukubali kama unavyocheza bahati nasibu.Kwani unajua utaliwa au utakula?
Hii ndo mistake kubwa mnayo fanya siku zote haya bana.
Fidel!
Kama hiyo ndo mistake, sasa unashauri tufanyaje yakhee?
Mi nikiona kufuli kubwa mno nitakuwa nazama kunako tu full kujiexpress
Kufuli ni nini?
Ni 'kei' a.k.a MbunyaKufuli ni nini?
Na kwenyewe ukikuta wajuvi wesharaharibu itakuwaje mazee.....
Kufuli ni nini?
Ni mafumbo kidogo yametumika. kufuli (mke) na funguo (mume)
soma post ya kwanza kabisaa..
hehehehe na wewe umeingia choo cha kiume tayari hapo...
ya nini mtumie mafumbo kama ina maana ya mke na mume mbona haina tatizo kusema mume na mke kuliko kutumia kufuli na ufunguo....mnaharibu kiswahili wakuu...Ni mafumbo kidogo yametumika. kufuli (mke) na ufunguo (mume)
soma post ya kwanza kabisaa..
'Kufuli' physically limeumbwa ku -accomodate almost any diameter ya 'ufunguo'. Labda kwenye suala la urefu ndio kuna exceptions na ikitokea, ufunguo unawekewa ring ili kuashiria the max point beyond which severe damage may be caused to the Kufuli.
Kile ambacho watu wengi wamewahi kuripoti kwamba ni size ndogo ya kufuli actually ni tatizo zaidi la kisaikolojia kwa upande wa mwanamke kuliko physical size (diameter!) au mwanamke kutoandaliwa vizuri kabla ya kuingiza ufunguo.
Labda pengine tatizo linaweza kuwa kama ufunguo ni mwembamba mno au mfupi mno. Hata hivyo kama mke na mume watashirikiana hili pia si tatizo kwani with PC muscle exercises, mwanamke anaweza kuadjust (at will!) size ya kufuli ili ku-accomodate ufunguo mwembamba. Ufunguo ukiwa mfupi si tatizo pia kwa sababu sehemu sensitive ya kufuli haipo mbali kihivyo kutokea nje ya kufuli (huitaji kuingiza the funguo wote ili kuweza kufungua kufuli!)