Maamuma's Thread:Inakuwaje ikiwa....

Maamuma's Thread:Inakuwaje ikiwa....

Mi iwa nawaambia tatizo lenu jamaa akisha toa ofa kuwa anakuoa basi wewe cha kwanza kufuli unasema litafungwa mpaka siku ya harusi jamaa anavumulia siku ya harusi unakuta jamaa funguo yake ndogo kama peremende utakimbilia kwa nani na umeahidi mtaishi kwa shida na raha...

Itabidi ukubali kama unavyocheza bahati nasibu.Kwani unajua utaliwa au utakula?
 
unapoenda kuwaambia wazazi kuwa umepata mchumba na pengine mwenzi ujao ataleta posa, swali ambazo wazazi wanauliza mara nyingi ni "umeridhika nae?".
Tafsiri ya hilo swali ni je umeisha jaribu kama kufuli na funguo zinaendana? kalagabaho!
 
Hahaha! talk about streching the truth.
 
Sasa Swali: Je kuna haja ya wanandoa watarajiwa, wanapokwenda kupima Ukimwi, washauriwe kucheck pia compatibility ya kufuli na ufunguo kabla ya ndoa? Labda itasaidia kupunguza kuvunjika kwa ndoa ambako sasa takwimu zake hazileti matumaini.

Yeah inabidi hata kufuli na funguo mzipime kwa practical kabisa.
 
'Kufuli' physically limeumbwa ku -accomodate almost any diameter ya 'ufunguo'. Labda kwenye suala la urefu ndio kuna exceptions na ikitokea, ufunguo unawekewa ring ili kuashiria the max point beyond which severe damage may be caused to the Kufuli.

Kile ambacho watu wengi wamewahi kuripoti kwamba ni size ndogo ya kufuli actually ni tatizo zaidi la kisaikolojia kwa upande wa mwanamke kuliko physical size (diameter!) au mwanamke kutoandaliwa vizuri kabla ya kuingiza ufunguo.

Labda pengine tatizo linaweza kuwa kama ufunguo ni mwembamba mno au mfupi mno. Hata hivyo kama mke na mume watashirikiana hili pia si tatizo kwani with PC muscle exercises, mwanamke anaweza kuadjust (at will!) size ya kufuli ili ku-accomodate ufunguo mwembamba. Ufunguo ukiwa mfupi si tatizo pia kwa sababu sehemu sensitive ya kufuli haipo mbali kihivyo kutokea nje ya kufuli (huitaji kuingiza the funguo wote ili kuweza kufungua kufuli!)
 
Fidel!

Kama hiyo ndo mistake, sasa unashauri tufanyaje yakhee?

Inabidi umpe jamaa akague kufuli kama litamfit kwenye funguo yake.
Na wewe pia inakuwa muda au chance muafaka ya kupima funguo ya jamaa kama size ndo yenyewe unayo taka lakini unaweza ukapima hata kwa kupapasa tu si lazima izame kwi kwi kwi kwi!
 
Mi nikiona kufuli kubwa mno nitakuwa nazama kunako tu full kujiexpress
 
hehehehe na wewe umeingia choo cha kiume tayari hapo...

Usiniambie nimeelewa sivyo ndivyo?!! Siyo kwamba kufuli ikimaanisha mwanamke na umbile lake la siri na pia ufungua ni mwanaume na ni pipe??

Hebu nijuze!!!
 
Ni mafumbo kidogo yametumika. kufuli (mke) na ufunguo (mume)

soma post ya kwanza kabisaa..
ya nini mtumie mafumbo kama ina maana ya mke na mume mbona haina tatizo kusema mume na mke kuliko kutumia kufuli na ufunguo....mnaharibu kiswahili wakuu...
 
'Kufuli' physically limeumbwa ku -accomodate almost any diameter ya 'ufunguo'. Labda kwenye suala la urefu ndio kuna exceptions na ikitokea, ufunguo unawekewa ring ili kuashiria the max point beyond which severe damage may be caused to the Kufuli.

Kile ambacho watu wengi wamewahi kuripoti kwamba ni size ndogo ya kufuli actually ni tatizo zaidi la kisaikolojia kwa upande wa mwanamke kuliko physical size (diameter!) au mwanamke kutoandaliwa vizuri kabla ya kuingiza ufunguo.

Labda pengine tatizo linaweza kuwa kama ufunguo ni mwembamba mno au mfupi mno. Hata hivyo kama mke na mume watashirikiana hili pia si tatizo kwani with PC muscle exercises, mwanamke anaweza kuadjust (at will!) size ya kufuli ili ku-accomodate ufunguo mwembamba. Ufunguo ukiwa mfupi si tatizo pia kwa sababu sehemu sensitive ya kufuli haipo mbali kihivyo kutokea nje ya kufuli (huitaji kuingiza the funguo wote ili kuweza kufungua kufuli!)

What if the diameter (thickness) of the funguo is big enough and the kofuli is so thin to the extent hata ukimuandaa still the key will make the lady sream and cry?
 
Back
Top Bottom