Maamuzi magumu: Mume wangu hanijali kwa chochote, nataka kuachana naye

Usinukum TU Kuna kitu, umri, familia kuna vitu vingi ila Sasa serious nimeamua
Aliyeamua aombi ushauri anafanya vitendo binafsi sioni safari yenu pamoja mmeo ni mbinafsi ila c kosa lake ndivyo kabila Leo lilivyo fanya maamuzi magumu kwa manufaa yako binafsi jipange vizuri ili ukiondoka usimwambie yeyote ata mama yako kakae sehemu nyingine uangalie maisha yako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Engineer Tanesco familia haina bima ya afya? kweli?
 
Wazazi wako na Wazazi wake,kama wapo hai

Basi jambo lirudishe kwao
Unahaki ya kupewa huduma za muhimu na lazima kisheria

Lkn
Kujenga kwao,lisikuume sana,huyo ni mzazi mwenzako,bado utakuwa na haki na yeye katika mali alizokuwa nazo

Muhimu
Kaa nae chini,msemeshe kwa maneno mazuri
kama hasikii maneno
Rudi kwa wazee,jambo limwage mezani

Pole sana ndg
Mola akufanyie wepesi katika kila zito lako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa kweli dada unapoteza muda, na unajichelewesha mwanaume mbinafsi sana, kwani kabla ya ndoa hakumhisi ana mambo ya kishirikina na tabia kama hizo za ubahili? Maana ukiona mtu anatabia kama hizi usidhani kwenye ndoa atabadilika ndo mambo yanazidi, halafu kuwa na mahusiano na mtu mshirikina ni hatari sana anaweza kukufanyia lolote hata kukuuwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Asante
 
Unahisi wazazi hasa waupande wake watanielewa juu ya hili??
 
Ana mada kibao juu ya malalamiko ya mumewe kwenye ndoa hakutokewi hukumu ya upande mmoja lazima kusikilizwe pande zote
Ya nn kumsikiliza yy dada kubwa kinachomuuma ni ubinafsi sijui ubahili wa mwanaume kuna mengne kweli ukisikia lazma utake kusikia upande wa pili kwa hili hapana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ana mada kibao juu ya malalamiko ya mumewe kwenye ndoa hakutokewi hukumu ya upande mmoja lazima kusikilizwe pande zote

Humu JF si rahisi kupata ya upande wa pili, huwa tunakisia tu kwenye kutoa ushauri. Ila huyu nimeona thread zake za nyuma ni nyingi na ni kwa same case.
 
S ndio na mie nikasema kila sikuyeye mumewe naye ana ya kusema
Humu JF si rahisi kupata ya upande wa pili, huwa tunakisia tu kwenye kutoa ushauri. Ila huyu nimeona thread zake za nyuma ni nyingi na ni kwa same case.
 
Honestly no, lakini huyu threads zake nyingi zinahusu huyo mume hua had najiuliza pengine huyo baba anayo yake japo ye katoa dukuduku lake humu hatywez jua ndio mana nikasema hivo we pitia tu threads zake utaelewa
Madame, ushauri wote unaotoaga humu huwa unakuwa umepata stori ya upande wa pili?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…