Maamuzi magumu: Mume wangu hanijali kwa chochote, nataka kuachana naye


Siyo wote mkuu!
Wangu niliongea ikafika mahali nikaacha kabisa

Hata achukue pesa zote apeleke kwao simuulizi.

Natafuta nacover pale ninapoweza akiona aibu anajisemesha anamalizia kilichobaki.
Kuna wanaume wanaoa lakini hawakuwa tayari kuwa mume!.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
TANESCO Ni taasisi ya kiserikali na Ni lazma awe mwanachama wa NHIF.
Ina maana hajakukatia bima?
 
nahis ww una ubora...!tena mkubwa..mie hapeleki kwao kiviiile maana kwao mambo safi tu..ila hela huioni..na vile mie sipendag makelele jamaa ababweteka balaa..yaan full kupenda miteremko...sasa hv anatoa jasho za meno..!kila anayemwona anasema ongeen na manengelo jaman siwez ishi bila yy..!mie ndo nishatoka
 

Kuna watu wapo vizuri sana katika kaficha vile vijitabia vibovu walivyo navyo, labda huyo kijana alificha hicho kijitabia chake cha ubinafsi pindi wako wachumba na alivyomuweka ndani akaanza kumuonyesha yeye yupoje.[emoji2368][emoji2368][emoji2368][emoji2368]
 

๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚kwakweli hajaamua..jaman kuachana ni kaz ngumu sana sana

tena hiz ndoa za kikristo mnatengana tu..kibabe tena!yaan haya mambo inabid uchunguze kwa upana sana toka mkiwa wapenzk..mie wangu niliwah mpa ukwel nikamwambia mbona nakuona km ww mbinafsi??akasema y nikamwambia..akajitetea hana uwezo coz yupo shule...nikawqmbia mbn na mm nasoma..akaishia kununa..nikaishia kumbembeleza..stupid..!sie wanaeake tunafunikwa sana na mahaba..baadaye tunakuja umia
 
Mh sidhani mpenzi
 
Hawezi muacha huyu eti unakuja kuanzisha thread kuomba ushauri woiiiii ukiamua unaamua tu na moyo wako
 
Hii ni one sided story at least tungemsikia na yeye ana yapi tukatoa maamuzi sahihi
Hivi na ma Counsellors huwa wanatakaga tu sides explanations

Lengo ni ushauri na si kutoa hukumu

Ingekuwa mahakamani tungeomba na maelezo ya upande wa pili, lakini hapa hapana

Dada jiongeze, you are not in his plans ......


Walk away

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pole sana ila ka umechoka na mambo yake achana nae ondoka after two months atakuja kukuuulizia kwan ilikuaje ushasema kwao wana vitu flan vya Giza itakua walimuwahi ili aisahau familia awakumbuke wao wanaume kwa kawaida hua tunaikumbuka familia kuliko nyumbani kwa hapo nakushauri tu furaha ya moyo wako ni bora kuliko kitu chochote
 
Mi nasubiri nimsikie na yeye anavyo sema kuhusu wewe ndio nitakushauri au kuwashauri chakufanya, vinginevyo itakuwa ni hukumu isiyo na haki
 
๐—ฆ๐—ถ๐˜„๐—ฒ๐˜‡๐—ถ ๐—ธ๐˜‚๐˜‚๐—ฑ๐—ฎ๐—ป๐—ด๐—ฎ๐—ป๐˜†๐—ฎ ๐—บ๐—ผ๐˜†๐—ผ ๐—ป๐—ฑ๐—ผ๐—ฎ ๐—ป๐˜‡๐˜‚๐—ฟ๐—ถ ๐—ป๐—ถ ๐—ถ๐—น๐—ฒ ๐—ฎ๐—บ๐—ฏ๐—ฎ๐˜†๐—ผ ๐—บ๐˜๐—ฎ๐—ถ๐˜€๐—ต๐—ถ ๐—ธ๐˜„๐—ฎ๐—ป๐˜‡๐—ฎ ๐—ต๐—ฎ๐—ฟ๐—ฎ๐—ณ๐˜‚ ๐—ป๐—ฑ๐—ถ๐—ฝ๐—ผ ๐—บ๐—ฎ๐—ธ๐˜‚๐—ฏ๐—ฎ๐—น๐—ถ๐—ฎ๐—ป๐—ผ ๐˜†๐—ฎ ๐—ธ๐˜‚๐˜๐—ผ๐—ฎ ๐—ฝ๐—ผ๐˜€๐—ฎ ๐˜†๐—ฎ๐—ฒ๐—ป๐—ฑ๐—ฒ๐—น๐—ฒ๐—ฒ ๐—ธ๐˜‚๐—น๐—ถ๐—ธ๐—ผ ๐—ธ๐˜‚๐˜๐—ผ๐—ฎ ๐—ฝ๐—ผ๐˜€๐—ฎ ๐—ป๐—ฑ๐—ถ๐—ฝ๐—ผ ๐—บ๐˜‚๐˜‚๐—ถ๐—ป๐—ด๐—ถ๐—ฒ ๐—ธ๐—ฎ๐˜๐—ถ๐—ธ๐—ฎ ๐—ป๐—ฑ๐—ผ๐—ฎ
 
You find a woman's weakness endearing, but a man's weakness disgusting.

That's why you find it more acceptable for a woman to cry. Or why you are more likely to help a woman.

All compassion and privilege directed towards women is PRECISELY because of their comparative weakness.
 
Daaah nimechelewa kutoa comments hapa jukwaani.

Cha kwanza kabisa niseme tu 1. una aina ya mwanaume ambaye hakujali, wala kukuheshimu.

2. Alafu una mwanaume ambaye mindset yake haijaelimika wala kustaarabika hata kama alisoma darasani hiyo haisaidii (hana elimu fikirishi ya kumkomboa kifikira, hana dini wala hofu ya mungu).

3. Mwanaume huyo ni mshamba na limbukeni.

4. Ana roho ya choyo ya ubinafsi ndiyo alivo lelewa kwao amini au usiamini.

5. Si mkweli, inawezekana vipi ana 2 milions anashindwa kukuweka bayana mfanye nini maisha yenu yabadilike, badala yake anakuficha.

Ushauri wangu ni huu:
Maisha yamebadilika sana na yanaenda kasi sana, ndoa siyo chochote wala lolote wewe dada achana naye kwa njia yoyote ile.

Sababu huyu mwanaume kwa tabia yake hata awe na billions dollars na apewe utajiri bado wewe utakuwa masikini tu na utaangamia kama mfamaji.

Wewe ulipo nikupe pole maana umerudi nyuma sana tu na amka ulipo rudi kwenye maisha yako upya mapema sana.
Asha kuchakaza ukikaa kidogo umeisha mama kimbia usiku umeingia.

Kwa maelezo uliyotoa kama ni kweli naandika toka moyoni hapa nasema kimbia huyo siyo binadamu aliyekamilika kuishi na mwenzake.

Mwisho nasema achana naye dada. Achana naye kama mtu ana pesa bado anakutesa hafai, nini maana ya pesa sasa??

Usije ukajipa tumaini au moyo eti nitapata kitu kwake, ndugu zake washakuchinjia baharini, tena ukisubiri kwa huyu mbwiga watakuchezea akili uwe chizi, hii ni dunia jali chako unachopata, wazazi wako wanakupenda, mtoto wako anakupenda anakutegemea. Shutuka sasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ