Maamuzi Magumu: Nimeamua kuwa baba wa mtoto wa rafiki yangu

Hongera sana Mkuu kwa ubinadamu wako. Nahisi kama bado unampenda huyo mrembo. Wakati unamsaidia na malezi ya kijacho angalia pia uwezakano wa nyinyi kuwa wapenzi tena na labda kuja kuwa Mke na Mume. Hongera sana Mkuu.

 
Mkuu mimi sina tatizo na mahusiano yake mapya, huruma iko kwa mtoto anayekataliwa na hana hatia.
Katika mapenzi sihitaji huruma, ni simba ninayejua kuwinda mawindo manono.
Sina mashaka na uwezo wangu katika misimamo katika mapenzi.
Yuko huru kuolewa na yeyote mtoto akikua.
Ukisoma vizuri hapo juu sisi tulikuwa tunaibana na kila mtu alikuwa na mahusiano yake.
 
Alikuwa na mpenzi nje ya nchi na akaenda kufanya mipango ya kuolewa.....akarudi pia kuna jamaa flani alimnyemelea kitambo naye akala na kapachika mimba ila huyu dada anajielewa sana sababu kabla ya kwenda nje kumfuata mpenzi wake ulirusha ndoano na ukamvua kama kawa...ila hii chain nyoko sana
Ila fresh ili ulimwengu u balance lazima kuwepo na mafala kama ww
 
Amesema atamuacha mama wa mtoto aendelee na maisha yake, hapo ugenini kunakujaje tena?
 
Hongera sana Mkuu kwa ubinadamu wako. Nahisi kama bado unampenda huyo mrembo. Wakati unamsaidia na malezi ya kijacho angalia pia uwezakano wa nyinyi kuwa wapenzi tena na labda kuja kuwa Mke na Mume. Hongera sana Mkuu.
Hii lilishapita mkuu, nina mahusiano yangu mengine anajua na anajua
 
Reactions: BAK
Amesema atamuacha mama wa mtoto aendelee na maisha yake, hapo ugenini kunakujaje tena?
Khantwe, wanaume tunatofautiana sana.
Mimi kama hatuna makubaliano tunaweza kulala room moja na sitakusumbua kabisa.
Mimi sio aina ya wale anakukaribisha geto kumbe amelenga akukule no.
Hivyo atakuja nitamhudumia akiwa huko hotelini na atarudi salama kwao.
 
Nimemaanisha mkeo/mpenzi wako. Siku akisikia mtoto anaitwa kwa jina lako ... unadhani ataelewa hii stori?
 
Soma vizuri, hakwenda kufanya mipango ya kuolewa bali alikaribishwa kumtembelea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…