Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nafurahi sana sana kushuhudia kuwa wanaume wale aliokusudia Mungu tangu awali bado wapo..ndio bado tupo..gentleman yes you are.Inaelekea wewe ni aina ya watu walioshikiwa akili, mimi nina maisha yangu sitegemei maamuzi au matakwa ya ndugu au marafiki.
Nimezaliwa kuwa mwanaume, kiongozi na mwamuzi.
Hao watapokea taarifa na sio sehemu ya maamuzi yangu.
Think positive.Mkuu wewe ni time Traveller uliishi zama za Yesu sasa umerudi katika ulimwengu huu[emoji23][emoji23][emoji23] Sema anyway itakuwa unampenda sana huyo mdada lakini Angalia usiwe unategemea kulipwa wema 100% huyo dada anaweza kuendeleza mechi za ugenini na Jamaa aliekataa mimbaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Maana wanawake achana nao mkuu.
Sitamuumiza mkuu, tangu nimweleze nina mahusiano yangu, ameyaheshimu kwa kiwango cha juu siku zote.Hapa unajiadaa kumuumiza huyo dada kihisia. Kama umekubali kuwa baba mfanye mkeo pia.
KWA HII MBINU UNAWEZA PATA MADEMU VILAZA HUMU JF. UTUNZI MZURI WA KUWAVUTIA SINGLE MOTHERS.
Yaah im positive ndo maana nimeanza kumpongeza lakini mwishoni nimempa ukweli Mchungu kesho asijekuua mtuThink positive.
Nasikitika umesoma lakini hujaelewa.Kuna mawili hapa, mosi unampenda sana huyo mwanamke cha pili unataka kumuonesha ni kwa nini hakua na msimamo kuhusu uhusiano wenu, kufanya hivi itakupa faraja wewe ile mwenzio atakua na burden of guilty na kujilaumu sana pia atashindwa kumove on. Na kibaya zaidi wewe ukitaka kumove on with on with on with your life (kuoa) ataumia zaidi.
MUHIMU : Mpe support pale kila atakapohitaji, hiyo ni commitment kubwa sana unaichukua to satisfy your ego. What will happen pale utakapokua umesatisfy your ego?
Kwahiyo wewe ndo umeamua ujichukulie hilo kahaba jumla jumla
Ulipendezeshe masela waendelee kulitavuna
Nini hujui kutongoza au
Kwani mtoa mada anategemea malipo gani?Wengi tunatamani kuwapa furaha hawa viumbe lakini malipo yao utbaki mdomo wazi ila kwa vile umesema anajielewa na umejihakikishia tunaomba Muumba awe nawe
Mkuu umetoa ushauri mzuri sana na hii jamaa inaonekana Amempenda demu kwa muda tu maana hana mpango wa Kumuoaa...[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Genye zitaishaa tuuu ataamka toka usingiziniiSio kweli kwamba umeamua kumsaidia kuulea ujauzito na mtoto,na kuwa baba wa mtoto kwa hiari kama ulivyosema,ila kuna (mhemko-sijapata neno zuri kwenye hili badala yake) na umeenda nalo speed bila kulifikiria kiundani. Kuna uwezekano wa kujutia uamuzi wako baadae. (Japo sikupingi kwa uamuzi wako). Hasa hasa ninachokiona hapo uko mapenzini kwa huyo dada,mpaka umeenda speed kwenye maamuzi mazito kama hayo. Muda mwingine kwa sasa unaweza ukafikiria ni huruma imekujia lakini ni hulka ya mapenzi yamuingiapo mtu,anaweza akaamua lolote ili kuonyesha kama hali ya kujali. Hasa nafikiri ni kufuatana na umri wako na kipato ulichonacho. Angalizo mwanamke ni kiumbe kigeugeu,lazima uje kujuta baadae. Kwa hadithi yako tu wewe amekuruka katikati yao hao wapenzi,yaani yuko kwenye mahusiano,akaingia tena kwako kwenye mahusiano,akamfuata ughaibuni,amerudi mawasiriano yapo na wewe,lakini akakushit akapigwa mimba na mwingine,tena akarudi kwako. Si bure kuna kitu kinakusumbua. Jitulize. Na ingekuwa vizuri sana ungekuja hapa kupata ushauri kabla hujamwambia chochote ningekushauri achana na huyo demu kabisa. Wewe amekufanya kivuli chake tu wakati wa jua kali.
Siwezi kufanya hivyo daima mkuu.
Hapa ninachofanya ni sawa na kuasili mtoto tu
Nisaidie hapa kosa litakuwa wapi?