Maamuzi Magumu: Nimeamua kuwa baba wa mtoto wa rafiki yangu

Alikuwa na mpenzi nje ya nchi na akaenda kufanya mipango ya kuolewa.....akarudi pia kuna jamaa flani alimnyemelea kitambo naye akala na kapachika mimba ila huyu dada anajielewa sana sababu kabla ya kwenda nje kumfuata mpenzi wake ulirusha ndoano na ukamvua kama kawa...ila hii chain nyoko sana
Ila fresh ili ulimwengu u balance lazima kuwepo na mafala kama ww
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] kwako kashasha,
 
Mkuu umetoa ushauri mzuri sana na hii jamaa inaonekana Amempenda demu kwa muda tu maana hana mpango wa Kumuoaa...[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Genye zitaishaa tuuu ataamka toka usingizinii
Rikiboy, wewe bado mvulana kwa ufahamu ulio nao.
Age yangu na uzoefu wangu nimemaliza mihemko ya kingono.
Nimevuka utoto huo.
Nina ushawishi kwa mwansmke yeyote nimtakaye na sina haja ya kutumia hila hii
 
Haya mkuu suala jema sanaa...!! Bhasi kila lakherii... Hongera kwa moyo mkuuu
 
Kwa kifupi kama ni kusapoti sijaanza leo, ninesomesha binti 2 bila mtu kujua na sasa wako chuo na wsnaniheshimu kama mlezi na sijataka fadhila ya ngono
 
Mkuu umetoa ushauri mzuri sana na hii jamaa inaonekana Amempenda demu kwa muda tu maana hana mpango wa Kumuoaa...[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Genye zitaishaa tuuu ataamka toka usingizinii
Na hicho ndio ninachokiona. Tena atamchoka haraka huyo demu,ataanza kujiona tofauti kwa maamuzi ya haraka. Muda mwingine maamuzi kama huwa yanaenda moja kwa moja kuharibu mfumo wake wa maisha wote
 
Neno moja fanya wema nenda zako ukisubiri shukran utajiua bure tukose mchango wako kwenye uchumi wa kati
 
Mtoto sio wakoo..!! Kesho baba yake akija kumdai je???
Mama na mtoto wataamua wao, ninachotaka wawe na furaha hasa mtoto.
Hii haitaniumiza kwani mama atakuwa amevuka salsma na mtoto atakuwa na amani
 
Na hicho ndio ninachokiona. Tena atamchoka haraka huyo demu,ataanza kujiona tofauti kwa maamuzi ya haraka. Muda mwingine maamuzi kama huwa yanaenda moja kwa moja kuharibu mfumo wake wa maisha wote
Huu unaitwa uhuru wa mawazo lakini hujaelewa chochote
 
Neno moja fanya wema nenda zako ukisubiri shukran utajiua bure tukose mchango wako kwenye uchumi wa kati
Mkuu nitasaidia na shukrani sio jadi yangu kutaka
Kwa kifupi kama ni kusapoti sijaanza leo, ninesomesha binti 2 bila mtu kujua na sasa wako chuo na wsnaniheshimu kama mlezi na sijataka fadhila ya ngono
 
Kwa kifupi kama ni kusapoti sijaanza leo, ninesomesha binti 2 bila mtu kujua na sasa wako chuo na wsnaniheshimu kama mlezi na sijataka fadhila ya ngono
Wewe una watoto wako wa kuwazaa???????????
 
Na hicho ndio ninachokiona. Tena atamchoka haraka huyo demu,ataanza kujiona tofauti kwa maamuzi ya haraka. Muda mwingine maamuzi kama huwa yanaenda moja kwa moja kuharibu mfumo wake wa maisha wote
[emoji28]
 
Nimemfanyia hayo mzazi mwenzangu lakini malipo yake ni 15% yaani hawa viumbe MUNGU anawaona
Mkuu wewe ni time Traveller uliishi zama za Yesu sasa umerudi katika ulimwengu huu[emoji23][emoji23][emoji23] Sema anyway itakuwa unampenda sana huyo mdada lakini Angalia usiwe unategemea kulipwa wema 100% huyo dada anaweza kuendeleza mechi za ugenini na Jamaa aliekataa mimbaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Maana wanawake achana nao mkuu.
 
Back
Top Bottom