LOVE U JF
JF-Expert Member
- Dec 9, 2015
- 2,138
- 1,639
Keep it on na ubalikiwe kwa moyo kama wangu100%
Sina haja kufurahisha watu tena nisiowajua
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Keep it on na ubalikiwe kwa moyo kama wangu100%
Sina haja kufurahisha watu tena nisiowajua
Oooh kumbeKashasha
Asee nimeandika comment inayoendana na maneno haya! Ajab_Mathayo 6:2-4_
“Basi, unapomsaidia maskini, usijitangaze. Usifanye kama wanafiki wafanyavyo katika masunagogi na njiani ili watu wawasifu. Kweli nawaambieni, hao wamekwisha pata tuzo lao. Lakini wewe unapomsaidia maskini, fanya hivyo kwamba hata mwandani wako asijue ufanyalo. Toa msaada wako kwa siri, na Baba yako aonaye yaliyofichika, atakutuza.
Tena umestawi vizuriMchaichai
Mkuu sihitaji shukrani, pia sio omba omba huyu dada kila kitu mimi nilikuwa nikifanya kwa hiariWengi tunatamani kuwapa furaha hawa viumbe lakini malipo yao utbaki mdomo wazi ila kwa vile umesema anajielewa na umejihakikishia tunaomba Muumba awe nawe
Sana mkuu, binti mwenyewe kisu hasa afu ni wife matirio kweli, natamani angepata mume akaolewa akafurahia maisha ya mume sema ndio ivo kunguru nshampitia tena.Duuh kweli kufa kufaana[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]niletee dadako dakika chache tu atakwambia mimi ni mwanaume wa namna gani.Usituchoshe na single maza wako....ye mwenyewe anakushangaa...ukute umekaa full miaihu kutongoza huwezi umeenda chukua makombo ya watu...unadhan iamaa atakuachia kitoto kama ganda la ndizi ...Lea tutafuata ak8kua
We jamaa huwezi kua serious..na hizo Ni element za. Kishoga....mwanaume unajisifia kuvutia..wakati unakaa na mwanamke unaloweka Hadi wenzio wanakuja kukusaidia kutia mimba...ukiendeleza hizo tabia huyo mwanamke atakutia dildo[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]niletee dadako dakika chache tu atakwambia mimi ni mwanaume wa namna gani.
Ukinifahamu hutathubutu kumwacha mpenzi wako hata apite karibu yangu.
Nina sumaku mkuu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Mi napita kwa tamaa za kiuanaume wenyewe wanaachia na ya mtoto na wanafurahia hilo mi nifanyeje sasa[emoji23][emoji23]Kunguru kweli wewe[emoji38][emoji38][emoji38]
Malaika bado wapo hapa duniani[emoji7][emoji7]
We Kaka ubarikiwe mpaka ushangae.