Maamuzi Magumu: Nimeamua kuwa baba wa mtoto wa rafiki yangu

Ulivutiwa nae mlipokutana ofisi flan,mkatongozana na mkakulana.

Akaenda kwa mpenz wake nche ya nchi kakuacha unamsubiria arudi

Wakazinguana na mpenz wake akarud na kabla hajakufikia akakutana na njemba ikambandua na chata ikaacha.

Akarudi kwako na badae akakwambia ana ujauzito na umekubali kuulea na kua baba wa hiari na et hautakua na mahusiano nae kimapenzi tena...jombaa zinduka huko usingizini hii Mambo ata ungekua malaika ni ngumu kueleweka..ningeamin Kama tu hamkuwahi kua na mahusiano Cha mhimu akijifungua Lea mtoto na badae piga na wewe chata yako hapo Mambo yatabalance.
@harder king uniaome vizuri, kuwa uhusiano wetu kama ulikufa kifo cha kawaida na bila sababu ya maingi.
Yeye hakunitafuta isipokuwa kuna aiku nilimpigia simu ndipo akanijulisha kuwa ni mjamzito bila ufafanuzi wa kina na wala hakujileta kwangu.

Ndipo baada ya miezi kadhaa akaniambia kwa undani yaliyomkuta na sio kwamba alijileta...aoma uelewe
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Wengi tu...
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
The good thing is you are responsible.

[emoji1635][emoji1635] Cheers.
 
Mbona inaeleweka? Kwenye paragraph ya mwanzo bidada alimjulisha tu kuwa ni mjamzito ila hakumpa habari nyingine na huenda mtoa mada alijua ametoka nayo kwa mchumba wake...baadae akaja akamsimulia jinsi mambo yalivyokuwa na hadi kupata ujauzito
kuna walakin hapo soma vzuri utajua.. lengo letu moja kuona tunaleaje mtoto...mtoa mada atupe mawasiliano ya huyo bidada
 
Itaendelea lini sasa
Hujui ya ulimwenguni ndugu, damu ni nzito kuliko maji. Damu isiyo yako lazima uwe na kiasi na mipaka juu yake kwani mwisho wa siku lazima ujute sana.

Ninachoweza kusema hukujipa nafasi ya kutafakari kuhusu uamuzi wako, ama ulifanya maamuzi kwa mihemko yako ama kwa sababu kwa sasa unaona huna majukumu zaidi.

Mwisho wa siku vipi akipata ujauzito wa mtoto mwingine kwa MTU mwingine, pia utaendelea kulea ama umeamua awe mke wako!! Kuna mengi ya kutafakari na si kukurupuka. Si swala jepesi kama unavyoweza kufikiri.

Pia jiangalie sana huyo mwanamke ni mwepesi sana na wewe ni mgeni kwenye maswala ya mahusiano na malezi
Nimeelezea kwa kina sana mkuu.
My concern ni kumvusha kipindi hiki kigumu na kuandaa mazingira bora ya kijacho tu.
amu saidia hili
 
Mbaya zaidi kuna wanawake nao wameponda [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yaani nawe ungeponda ningekupigia simu fasta[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]wengine nimewasitiri japo najua walivyo
 
kuna walakin hapo soma vzuri utajua.. lengo letu moja kuona tunaleaje mtoto...mtoa mada atupe mawasiliano ya huyo bidada
Sijaona walakini hapo...labda kwa sababu wewe ni dropout ndio maana hujaelewa[emoji12][emoji12] (joke). Ila hajasema anataka kusaidiwa
 
Yaani nawe ungeponda ningekupigia simu fasta[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]wengine nimewasitiri japo najua walivyo
Mimi siwezi kuponda hasa swala linalohusu future ya mtoto.

Am a mother for God's sake lakini hata kama nisingekuwa mama sina roho mbaya hiyo kiasi nishauri usimfanyie mtoto mtarajiwa vile ulivyopanga.

Embu nipigie sahivi nikushauri vizuri [emoji23][emoji23][emoji23]
 
kuna walakin hapo soma vzuri utajua.. lengo letu moja kuona tunaleaje mtoto...mtoa mada atupe mawasiliano ya huyo bidada
[emoji116][emoji116][emoji116]sahihi
Mbona inaeleweka? Kwenye paragraph ya mwanzo bidada alimjulisha tu kuwa ni mjamzito ila hakumpa habari nyingine na huenda mtoa mada alijua ametoka nayo kwa mchumba wake...baadae akaja akamsimulia jinsi mambo yalivyokuwa na hadi kupata ujauzito
 
Mtumishi mmoja wa Mungu aliwahi kusema be a dadly figure. Nakupongeza kwa uamuzi wako.

Lakini umeoa?
Huyu ndugu ana akili sana, ameweka akiba ya baadae, baada ya mtoto kuzaliwa atakuwa anapona hapo, huyo mwanamke hawezi kumnyima
Mtumishi mmoja wa Mungu aliwahi kusema be a dadly figure. Nakupongeza kwa uamuzi wako.

Lakini umeoa?
 
Mimi siwezi kuponda hasa swala linalohusu future ya mtoto.

Am a mother for God's sake lakini hata kama nisingekuwa mama sina roho mbaya hiyo kiasi nishauri usimfanyie mtoto mtarajiwa vile ulivyopanga.

Embu nipigie sahivi nikushauri vizuri [emoji23][emoji23][emoji23]
Nijie pm
 
Huyu ndugu ana akili sana, ameweka akiba ya baadae, baada ya mtoto kuzaliwa atakuwa anapona hapo, huyo mwanamke hawezi kumnyima
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Mkuu sio siri sina tamaa ya papuchi kivile, warembo wako wengi sana ambao wako tayri kunitunuku nakosa muda na utayari wa hilo
 
Hujui ya ulimwenguni ndugu, damu ni nzito kuliko maji. Damu isiyo yako lazima uwe na kiasi na mipaka juu yake kwani mwisho wa siku lazima ujute sana.

Ninachoweza kusema hukujipa nafasi ya kutafakari kuhusu uamuzi wako, ama ulifanya maamuzi kwa mihemko yako ama kwa sababu kwa sasa unaona huna majukumu zaidi.

Mwisho wa siku vipi akipata ujauzito wa mtoto mwingine kwa MTU mwingine, pia utaendelea kulea ama umeamua awe mke wako!! Kuna mengi ya kutafakari na si kukurupuka. Si swala jepesi kama unavyoweza kufikiri.

Pia jiangalie sana huyo mwanamke ni mwepesi sana na wewe ni mgeni kwenye maswala ya mahusiano na malezi
Mimi mgeni wa malezi???
Mwanamke ni mwepesi?
Soma hatua kea hatua utaelewa lengo langu
 
Back
Top Bottom