Benaya-
JF-Expert Member
- Jul 31, 2019
- 4,415
- 7,631
- Thread starter
- #301
@harder king uniaome vizuri, kuwa uhusiano wetu kama ulikufa kifo cha kawaida na bila sababu ya maingi.Ulivutiwa nae mlipokutana ofisi flan,mkatongozana na mkakulana.
Akaenda kwa mpenz wake nche ya nchi kakuacha unamsubiria arudi
Wakazinguana na mpenz wake akarud na kabla hajakufikia akakutana na njemba ikambandua na chata ikaacha.
Akarudi kwako na badae akakwambia ana ujauzito na umekubali kuulea na kua baba wa hiari na et hautakua na mahusiano nae kimapenzi tena...jombaa zinduka huko usingizini hii Mambo ata ungekua malaika ni ngumu kueleweka..ningeamin Kama tu hamkuwahi kua na mahusiano Cha mhimu akijifungua Lea mtoto na badae piga na wewe chata yako hapo Mambo yatabalance.
Yeye hakunitafuta isipokuwa kuna aiku nilimpigia simu ndipo akanijulisha kuwa ni mjamzito bila ufafanuzi wa kina na wala hakujileta kwangu.
Ndipo baada ya miezi kadhaa akaniambia kwa undani yaliyomkuta na sio kwamba alijileta...aoma uelewe