Ma single. Maza wengi diniani wanasumbuliwa na nyumbani za kupanga. Mi staki umpe upendo kiviiiile, maana una wengi wa kuwapenda ikiwemo familiya yako na mama yako,na wengine wajao, Hata ukikutana ma Mimi leo huyo mbona utamsahau![emoji16] kabla hilo halijatokea wewe MPE nyumbani tu Mungu atakubariki.
Maisha ya usingle mother ni kama kamali, naona umejitoa hadi raha, lakini nature ya usingle mother unaweza ifunye hiyo furaha ulopanga kutoweka, mtoto akizaliwa huwa ni mtamu, baba yake lazima aanze uchokozi, weekend ukiwa kwa mkeo, huyo Dada akakupigia hupokei,unaogopa kuharibu kwa mkeo, Dada mchepuko anapata upweke na hasira, Mara SMS ya mzazi mwenzie inaingia " najua unanichukia ila mm nakupenda, Mke wangu ndo kikwazo, plz njoo umchukulie mtoto matumizi, plz Niko chini ya figo zako"[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji2]