Mkuu ukiona unamtongoza mwanamke na hata wasiwasi hauna basi ujue haujampenda bado unamtamani tu.
usibishe, hii ni mada mpya.
Mkuu ukiona unamtongoza mwanamke na hata wasiwasi hauna basi ujue haujampenda bado unamtamani tu.
usibishe, hii ni mada mpya.
Poa kamanda, mi mwenyewe muda si mrefu nabwaga manyanga. all ze bestWhat a lovely JF MMU???!!!
usiku mwema wapendwa wotee... mi nalaza hiki kiwiliwili...
Good night..What a lovely JF MMU???!!!
usiku mwema wapendwa wotee... mi nalaza hiki kiwiliwili...
"Loosing confidence is a prime and perfect sign of true love"
Infakti tangu utoe lile jibu basi natoka kijasho chembaamba halaf natetemeka kama zitto kabwe (get well soon mheshimiwa)
Honey! naweza nikawa wrong kwenye post zangu zote tangu nijiunge JF lakini sio kwa hii. Na ipo sababu ya kisaikolojia ni kwanini inatokea but naireserve kwa leo, nimechoka balaaKloro ummm....
Sorry Mbu kwa uchakachuzi but I have to ask this.
Kloro..aka lawyer wa MMU au hubby kwa leo..ina maana hata mwanaume anapoogopa kumweleza mwanamke hisia zake inaweza kuwa ni kwasababu anamfeel sana???
Mkuu ukiona unamtongoza mwanamke na hata wasiwasi hauna basi ujue haujampenda bado unamtamani tu.
usibishe, hii ni mada mpya.
What a lovely JF MMU???!!!
usiku mwema wapendwa wotee... mi nalaza hiki kiwiliwili...
If u listen to ur heart carefully, u will hear something extraordinary.sijabisha
umenikumbusha kuna mtu nikiona tu pm yake
roho inanidunda, kumbeee ndio hivi???
heheeh Mbu kwa kukaba bana!]
...lawyer hapa unanichanganya tena, ndio maana nakwambia hii mada inakwenda mbele ikirudi nyuma...
huyu mdada ambaye sote tunakesha kumsaidia mawazo hapa naye ame lose confidence ya maamuzi yake...
dont you think that is a "kiashiria" cha mapenzi ya dhati kama ulivyoungama hapo, hehehehehe!
Honey! naweza nikawa wrong kwenye post zangu zote tangu nijiunge JF lakini sio kwa hii. Na ipo sababu ya kisaikolojia ni kwanini inatokea but naireserve kwa leo, nimechoka balaa
Be careful honey na nilichoongea usije ukakichanganya na wale madomo zege ambao wanatoka na mkwala wanaenda kutongoza wakifika maeneo wanaanza kusifia dikshineri la oxford lina rangi ya bendera ya chadema. Hapa naongelea mwanaume ambae kikawaida anajiamini.Bwoiiii.....
I just thought of a certain gentleman!!!
Mhhh hubby asante kwa huu mtazamo...sikuwahi kuufikiria. Actually katika harakati za kuelimishana kuna mtu alisema kwamba mwanaume akishindwa kumtokea mwanamke inaonyesha ni kwa kiasi gani hamfeel...
If u listen to ur heart carefully, u will hear something extraordinary.
I hope huyo mdada si Lizzy , hapatatosha hapa mkuu lol
If u listen to ur heart carefully, u will hear something extraordinary.
I hope huyo mdada si Lizzy , hapatatosha hapa mkuu lol
Nilitaka kujibu ila naona umenijibia.....heheeh Mbu kwa kukaba bana!
Huyo wako wewe ameloose confidence au hana msimamo?, kumbuka huyo mdada wako ana target tatu in one shot.
Be careful honey na nilichoongea usije ukakichanganya na wale madomo zege ambao wanatoka na mkwala wanaenda kutongoza wakifika maeneo wanaanza kusifia dikshineri la oxford lina rangi ya bendera ya chadema. Hapa naongelea mwanaume ambae kikawaida anajiamini.
Khaaaa! huyu chiboko aisee! naomba tu nijitoe kwenye kumshauri, dah!....lol.....klorokwini...halafu nilisahau kuwaambia...huyu mdada alionitaka ushauri alinambia ati
keshajisikilizia sana, ila her soul doesnt agree with her heart, and mind...yaani
kila partner ana nafasi yake mwilini mwake...mmoja yupo kwenye mind,
mwingine kwenye heart, na mwingine kwenye soul....she's possessed!
....ushawahi iona movie ya exorcists?....
....lol.....klorokwini...halafu nilisahau kuwaambia...huyu mdada alionitaka ushauri alinambia ati
keshajisikilizia sana, ila her soul doesnt agree with her heart, and mind...yaani
kila partner ana nafasi yake mwilini mwake...mmoja yupo kwenye mind,
mwingine kwenye heart, na mwingine kwenye soul....she's possessed!
....ushawahi iona movie ya exorcists?....
heheh inawezekana pia kaona mwanaume perfect hakuna sasa kaamua aunge unge watatu, hakyanani Mbu anafatia kwenye listi. Mie nasubiria tuMbu huyo dada HATAKI kuchagua....yani ana excuse za kila aina.No wonder MTM alimwita opportunist!!!
heheh inawezekana pia kaona mwanaume perfect hakuna sasa kaamua aunge unge watatu, hakyanani Mbu anafatia kwenye listi. Mie nasubiria tu