Maamuzi magumu...!

Maamuzi magumu...!

Mkuu ukiona unamtongoza mwanamke na hata wasiwasi hauna basi ujue haujampenda bado unamtamani tu.
usibishe, hii ni mada mpya.

Kloro ummm....
Sorry Mbu kwa uchakachuzi but I have to ask this.
Kloro..aka lawyer wa MMU au hubby kwa leo..ina maana hata mwanaume anapoogopa kumweleza mwanamke hisia zake inaweza kuwa ni kwasababu anamfeel sana???
 
]

"Loosing confidence is a prime and perfect sign of true love"
Infakti tangu utoe lile jibu basi natoka kijasho chembaamba halaf natetemeka kama zitto kabwe (get well soon mheshimiwa)

...lawyer hapa unanichanganya tena, ndio maana nakwambia hii mada inakwenda mbele ikirudi nyuma...
huyu mdada ambaye sote tunakesha kumsaidia mawazo hapa naye ame lose confidence ya maamuzi yake...

dont you think that is a "kiashiria" cha mapenzi ya dhati kama ulivyoungama hapo, hehehehehe!
 
Kloro ummm....
Sorry Mbu kwa uchakachuzi but I have to ask this.
Kloro..aka lawyer wa MMU au hubby kwa leo..ina maana hata mwanaume anapoogopa kumweleza mwanamke hisia zake inaweza kuwa ni kwasababu anamfeel sana???
Honey! naweza nikawa wrong kwenye post zangu zote tangu nijiunge JF lakini sio kwa hii. Na ipo sababu ya kisaikolojia ni kwanini inatokea but naireserve kwa leo, nimechoka balaa
 
Mkuu ukiona unamtongoza mwanamke na hata wasiwasi hauna basi ujue haujampenda bado unamtamani tu.
usibishe, hii ni mada mpya.

..hahahahahahahaha! wewe umedata bana, khaaaaa?!

What a lovely JF MMU???!!!

usiku mwema wapendwa wotee... mi nalaza hiki kiwiliwili...

...e bana ulale unono bana...shukrani kwa michango yako iliyoniacha hoi kwa kicheko!
 
]

...lawyer hapa unanichanganya tena, ndio maana nakwambia hii mada inakwenda mbele ikirudi nyuma...
huyu mdada ambaye sote tunakesha kumsaidia mawazo hapa naye ame lose confidence ya maamuzi yake...

dont you think that is a "kiashiria" cha mapenzi ya dhati kama ulivyoungama hapo, hehehehehe!
heheeh Mbu kwa kukaba bana!
Huyo wako wewe ameloose confidence au hana msimamo?, kumbuka huyo mdada wako ana target tatu in one shot.
 
Honey! naweza nikawa wrong kwenye post zangu zote tangu nijiunge JF lakini sio kwa hii. Na ipo sababu ya kisaikolojia ni kwanini inatokea but naireserve kwa leo, nimechoka balaa

Bwoiiii.....
I just thought of a certain gentleman!!!
Mhhh hubby asante kwa huu mtazamo...sikuwahi kuufikiria. Actually katika harakati za kuelimishana kuna mtu alisema kwamba mwanaume akishindwa kumtokea mwanamke inaonyesha ni kwa kiasi gani hamfeel...
 
Be careful honey na nilichoongea usije ukakichanganya na wale madomo zege ambao wanatoka na mkwala wanaenda kutongoza wakifika maeneo wanaanza kusifia dikshineri la oxford lina rangi ya bendera ya chadema. Hapa naongelea mwanaume ambae kikawaida anajiamini.
 
If u listen to ur heart carefully, u will hear something extraordinary.
I hope huyo mdada si Lizzy , hapatatosha hapa mkuu lol

....lol.....klorokwini...halafu nilisahau kuwaambia...huyu mdada alionitaka ushauri alinambia ati

keshajisikilizia sana, ila her soul doesnt agree with her heart, and mind...yaani
kila partner ana nafasi yake mwilini mwake...mmoja yupo kwenye mind,
mwingine kwenye heart, na mwingine kwenye soul....she's possessed!
....ushawahi iona movie ya exorcists?....​
 
Hahahhaa...mi Boss hua nikiMP msg zangu zinabounce kwahiyo sio mimi hubby.

heheeh Mbu kwa kukaba bana!
Huyo wako wewe ameloose confidence au hana msimamo?, kumbuka huyo mdada wako ana target tatu in one shot.
Nilitaka kujibu ila naona umenijibia.....
Mbu kuna tofauti kati ya kukosa msimamo hivyo kutapatapa na kukosa comfidence .
Becides kama dada angekua anasumbuliwa na lack of comfidence inayotokana na kupenda sana angeshajua anamtaka nani na kusingekua na ugumu wa kumchagua kwasababu kwenye case yake wote wanamsubiria yeye aseme ndio na sio akaombe mahusiano.
 
Be careful honey na nilichoongea usije ukakichanganya na wale madomo zege ambao wanatoka na mkwala wanaenda kutongoza wakifika maeneo wanaanza kusifia dikshineri la oxford lina rangi ya bendera ya chadema. Hapa naongelea mwanaume ambae kikawaida anajiamini.

Hahahaha..I know love....
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
....lol.....klorokwini...halafu nilisahau kuwaambia...huyu mdada alionitaka ushauri alinambia ati

keshajisikilizia sana, ila her soul doesnt agree with her heart, and mind...yaani
kila partner ana nafasi yake mwilini mwake...mmoja yupo kwenye mind,
mwingine kwenye heart, na mwingine kwenye soul....she's possessed!
....ushawahi iona movie ya exorcists?....​

Khaaaa! huyu chiboko aisee! naomba tu nijitoe kwenye kumshauri, dah!
yep, exorcist si ile horror ya jamaa yuko possessed ama?
 
....lol.....klorokwini...halafu nilisahau kuwaambia...huyu mdada alionitaka ushauri alinambia ati

keshajisikilizia sana, ila her soul doesnt agree with her heart, and mind...yaani
kila partner ana nafasi yake mwilini mwake...mmoja yupo kwenye mind,
mwingine kwenye heart, na mwingine kwenye soul....she's possessed!
....ushawahi iona movie ya exorcists?....​

Mbu huyo dada HATAKI kuchagua....yani ana excuse za kila aina.No wonder MTM alimwita opportunist!!!
 
kuoa au kuolewa ni kama kutia mkono gizani,yeye asikilize moyo na kichwa chake kinaamuaje,kichwa ndo serikali yako then life goes on no regret ukikosea ndo unajifunza hakuna mwalimu ktk mapenzi na maisha sote bado tunajifunza tuko darasani,tutatoa ushauri hapa ata page 60000 zitafika kumbe majibu anayo moyoni mwake ubaya na uzuri wa hao watu yeye ndo anajuwa.
 
Mbu huyo dada HATAKI kuchagua....yani ana excuse za kila aina.No wonder MTM alimwita opportunist!!!
heheh inawezekana pia kaona mwanaume perfect hakuna sasa kaamua aunge unge watatu, hakyanani Mbu anafatia kwenye listi. Mie nasubiria tu
 
Hahahahaha....we ni noma!!!Dada anaunga watatu apate mmoja anaefaa!!!

Good night love...ntaota umepewa nafasi ya Invisible.

Mbu asante kwa kunichangamshia akili....usitunyime update!!!!
Stay safe y'all!
 
Back
Top Bottom