Maamuzi ya idadi ya watoto ni ya nani?

Idadi inaamua uchumi ndani ya ndoa afya zenu la mwisho sio muhimu sana kama uchumi wenu sio mshahara umri vingine bwebwe kuna jamaa amezaa nje ya ndoa kisa mkewe anatatizo la uti wa mgongo kwa muda kidg kutoka kana na sindano kipindi cha uzazi jamaa hela ipo sana tena mno na afya inaruhusu amempeleka mpk india bado imegoma sasa amepiga nje kwa siri kubwa sana coz anampenda mkewe mno
 
Kuna watu Hana mtoto hata mmoja Ila Hana mvuto na ni kijana.
Acheni kujidanganya kuwa ukizaa watoto wachache ndio unakuwa na mvuto
Kwani wanaume si ndo mnasemaga hivyo kwamba wanawake tukishazaa tunakuwa tumezeeka wakati nyie mnakuwa bado vijana kwahiyo mnachepuka na vibinti ambao ni 'vijana wenzenu'
 
Kuna dada jirani yetu amefariki asilimia 90 yule mumewe alichangia mwanamke katoka kujifungua anamshindisha na vipiro vya ugali afya ilikuwa mbaya akawa wakijani usoni kwa kukosa rishe alifariki yule dada kaacha watoto 3[emoji25].
Masikini daah
 
Jamani[emoji134][emoji134][emoji134][emoji134][emoji24][emoji24][emoji24]
 
Duuuh!! Kama anampenda mno angemwambia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…