hearly
JF-Expert Member
- Jun 19, 2014
- 45,678
- 63,304
Hahaha Umea Anza mtongozo hapa hapa
ha ha ha ha ukiona watoto wangu utatamani ni kugaie mbegu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ha ha ha ha ukiona watoto wangu utatamani ni kugaie mbegu
Ya wote wawili washauriane huku wakiangalia sana gharama za maisha na kipato chao. Ile dhana ya kila mtoto atakuja na riziki yake ni dhana ya jalalani kwani mtoto anapozaliwa haji na bulungutu lake.
Kama ni mwanamke alie ajiriwa ni vyema mwanaume uwe msikivu kwa mwenzako pale anaposema mzae kwa mpango...koz wanawake wanapitia changamoto nyingi sana anapokua na watoto wengi huku pia kazi zinamsubiri, huwezi kumwambia mkeo akae nyumbani tu akuzalie kuna kesho unaeweza ukaondoka hapa duniani ukamuacha kwenye kipindi kigumu ...mwanaume muelewa ataelewa hili
ha ha ha ha hapana mkuu,tunaondoa msongo wa mawazo tuHahaha Umea Anza mtongozo hapa hapa
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 don ameamua kupambana nao. Leo alikuwa anamtafuta JokeriHapana si niliona siku amekuambia.
Halafu hapo hapo akakutandika injili hadi ukamkimbia[emoji23][emoji23][emoji23]akabaki Don kagangamala weee na yeye yakamshinda.
ha ha ha ha ulifanya vizuri sana....sasa wengine wanatafuta wenye muonekano kama wanapuliza moto halafu wanategemea washawishike kuzaa watoto wengi,hiyo ni ngumu ni sawa na kwenda mbinguni bila kufa.
Eeeeeeee si ndio unalotaka!Halafu tutengeneze ukoo wa kambale siyo?
Baba sharubu, mama sharubu
Ni kweli mkuu ndio maana ni wachache sana wanao wa-kiss wake zao adharani
Hili suala mi nahisi sio la mume na mke tu.
Mfano mume na mke wakikubaliana idadi ya watoto ni 0. Hapa wazazi si wanaweza kuingilia?
[emoji106]Mwanaume ndio anatakiwa kupanga idadi ya watoto kulingana na kipato chake.
Kama mwanamke analazimisha idadi ndogo na mme anataka idadi kubwa basi uchumi wa familia uwe ndio kigezo cha maamuzi ya mwisho.
Kwani wewe ndo unayebeba mimba na kwenda leba?
Umemuita huyo?? Haya kwaherini jamani ngoja nkatafute uzi mwengine kwanza
You make money, and you make rule!!!
Naomba nitafsirie hapa.
Au unamaanisha kwamba pesa zako zitakufanya uishi vile unavyotaka? What about us?
ha ha ha ha ndio hivyo mkuu sasa mtu anaenda kutafuta poligoni akitegemea apate mtoto mzuri;lazima tuwe wakweli tu,na watu hawataki kusikia ukweli.Hahaha ahahaha pumbavu zako
Unajua kuna wengine huwa wanajiuliza uliza maswali .....imekuaje nikawa na wewe? kwa sababu unakuta ke kama me,na me kama keHahaha --kwamba wengi Wanashindwa kuwa kiss hadharani kwa kuwa wake zao ni wa baya. ...
Dah! !!!
Unajua kuna wengine huwa wanajiuliza uliza maswali .....imekuaje nikawa na wewe? kwa sababu unakuta ke kama me,na me kama ke
Bi mdashi, usitake kunlisha maneno hapa. Kama wewe unataka kusema uislam ndio umesema tuwatawale wake zetu through dictatorship wewe sema tu.Sasa mkeo hawezi kukushauri ubadilishe maamuzi ya idadi ya watoto unaowataka? Unajua Mungu alisema mwanaume amtawale mwanamke akaishia hapo lakini kumbuka kuna aina tatu za utawala kuna Dictatorship, Democracy na Laissez-Faire na Mungu hakuwaambia wanaume mtumie ipi
Lakini wakristo wengi tunaamini kwamba alitaka mtumie kama anayoitumia yeye katika kututawala sisi hivi unajua kwamba Mungu anatumia Democracy katika kututawala binadamu hata yeye anataka tumtii lakini bado katupa uhuru na naweza kusema katika viumbe vilivyopewa uhuru mbinguni na duniani ni binadamu na ndo maana tunatenda dhambi
Lakini hata malaika hawana huu uhuru kama tuliopewa sisi wao kila wanachoambiwa wanatakiwa kukubali na ndo maana hawatendi dhambi lakini sisi binadamu tumeambiwa vingapi na Mungu na tumekataa na anatusamehe?
Sasa ninyi wanaume mnadhani kwamba kwa sababu eti sisi tumeambiwa tuwatii basi ndo tunatakiwa kukubali kila kitu mnachosema na hatutakiwi kuwapinga hapana haiko hivyo sasa hapa najua tunaweza tukabishana kwa sababu ya utofauti wa imani zetu ila mimi sitaki kubishana mimi nimekwambia tu hivyo kutokana na mafundisho ya kikristo ila kama uislam umewafundisha wanaume muwatawale wake zenu kupitia Dictatorship basi sawa haina shida
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]jamaniDada hata uzae kila mwaka hapawazuii kuzaa nje.[emoji23][emoji23][emoji23]. Wengine wanataka wajaze dunia na hela ya kulea watoto hawana.
Naomba Msemaji mkuu wa wanawake (utani ) Edelyn akitoa mawazo yake uniite.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]daah[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Edelyn sijamuona kabisa leo, itakuwa naajiandaa na w.end.
Yaani hao ambao huwa wanataka idadi kubwa ya watoto huku yeye mwenyewe hajiwezi ndio huwa siwaelewi kabisaaa.