Maamuzi ya idadi ya watoto ni ya nani?

Maamuzi ya idadi ya watoto ni ya nani?

Fact
Kama ni mwanamke alie ajiriwa ni vyema mwanaume uwe msikivu kwa mwenzako pale anaposema mzae kwa mpango...koz wanawake wanapitia changamoto nyingi sana anapokua na watoto wengi huku pia kazi zinamsubiri, huwezi kumwambia mkeo akae nyumbani tu akuzalie kuna kesho unaeweza ukaondoka hapa duniani ukamuacha kwenye kipindi kigumu ...mwanaume muelewa ataelewa hili
 
Mwanaume ndio anatakiwa kupanga idadi ya watoto kulingana na kipato chake.

Kama mwanamke analazimisha idadi ndogo na mme anataka idadi kubwa basi uchumi wa familia uwe ndio kigezo cha maamuzi ya mwisho.
[emoji106]
 
Hahaha --kwamba wengi Wanashindwa kuwa kiss hadharani kwa kuwa wake zao ni wa baya. ...

Dah! !!!
Unajua kuna wengine huwa wanajiuliza uliza maswali .....imekuaje nikawa na wewe? kwa sababu unakuta ke kama me,na me kama ke
 
Sasa mkeo hawezi kukushauri ubadilishe maamuzi ya idadi ya watoto unaowataka? Unajua Mungu alisema mwanaume amtawale mwanamke akaishia hapo lakini kumbuka kuna aina tatu za utawala kuna Dictatorship, Democracy na Laissez-Faire na Mungu hakuwaambia wanaume mtumie ipi

Lakini wakristo wengi tunaamini kwamba alitaka mtumie kama anayoitumia yeye katika kututawala sisi hivi unajua kwamba Mungu anatumia Democracy katika kututawala binadamu hata yeye anataka tumtii lakini bado katupa uhuru na naweza kusema katika viumbe vilivyopewa uhuru mbinguni na duniani ni binadamu na ndo maana tunatenda dhambi

Lakini hata malaika hawana huu uhuru kama tuliopewa sisi wao kila wanachoambiwa wanatakiwa kukubali na ndo maana hawatendi dhambi lakini sisi binadamu tumeambiwa vingapi na Mungu na tumekataa na anatusamehe?

Sasa ninyi wanaume mnadhani kwamba kwa sababu eti sisi tumeambiwa tuwatii basi ndo tunatakiwa kukubali kila kitu mnachosema na hatutakiwi kuwapinga hapana haiko hivyo sasa hapa najua tunaweza tukabishana kwa sababu ya utofauti wa imani zetu ila mimi sitaki kubishana mimi nimekwambia tu hivyo kutokana na mafundisho ya kikristo ila kama uislam umewafundisha wanaume muwatawale wake zenu kupitia Dictatorship basi sawa haina shida
Bi mdashi, usitake kunlisha maneno hapa. Kama wewe unataka kusema uislam ndio umesema tuwatawale wake zetu through dictatorship wewe sema tu.

cc: cute b
Atoto
 
Back
Top Bottom