Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwahiyo mkuu unataka kusema kwamba mfano leo hii mahari ikafutwa kabisa mtaacha kuwatawala na kuwamiliki wanawake si ndiyo?as long as tutaendelea kutoa mahari hili tuwaoweni nyinyi, mfumo dume haukwepeki mkuu.
Hivi unafahamu ninapotoa mahari nakuwa ni kama nimepewa umiliki kwako, sasa kivipi nipangiwe nini cha kufanya na kitu ambacho ni mali yangu?
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]na ukizaa timu ya mpira atasema umezeeka wakati yeye bado kijana kwahiyo atatafuta wanawake vijana kama yeye[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]life ain't fairBinafsi niko tayari mume anipangie watoto anao wahitaji na ajue kunipa huduma nzuri sio nizae timu ya mpira huku nachakaa nitaishia mmoja naenda kufunga kizazi.
Sasa hao wadhungu sasa wanawake zetu hao wanavyopenda kula na uvivu wa mazoezi...Kuzaa kunamfanya mwanamke achoke Mkuu??
Sidhani, mwanamke akiwa na nidhamu ya kula na mazoezi toka akiwa na mimba mpaka kujifungua hata azae watoto 4 shape inabaki pale pale.
Mkuu usifananishe wanawake wa kizungu na wanawake wa kibongo wanawake wengi wa kibongo hawana matunzo yaani waume zao wanataka watoto wengi ila hawako tayari au hawana uwezo wa kuwatunza wake zao mwanamke anahitaji matunzoSasa hao wadhungu sasa wanawake zetu hao wanavyopenda kula na uvivu wa mazoezi...
One in ten, tukubaliane Ni wachache wataweza hiii
Kuna watu Hana mtoto hata mmoja Ila Hana mvuto na ni kijana.Alafu vitu vizuri ata ukizeeka bado unakua kifaa ebu washauri naamini mkeo mzuri
Wote wawili ingawa mimi napenda wawili Sitaki mke wangu achoke sababu ya kuzaa , outing nitatoka na Nani[emoji3][emoji3].SI wengine tunapenda sifa unatoka outing na mwanamke yupo in shape anavutia sifa na pata Mimi kidume...
Mke wa jamaa ni mashine safiiiiiiii ndo nataka hivyo[emoji23][emoji23][emoji23], heshima.
Si nshatengua kule jamaniTatizo haujatengua kauli.
Money talk si ndiyo?
Yes Mkuu ni wachache tunaoweza hili[emoji6][emoji6]Sasa hao wadhungu sasa wanawake zetu hao wanavyopenda kula na uvivu wa mazoezi...
One in ten, tukubaliane Ni wachache wataweza hiii
Kuna msemo maarufu kule Tanga wanasemaMwanaume ha admit kushindwa bwana.
[emoji123][emoji123][emoji123][emoji123]
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Si bora apige ngumi ukuta. Atamwaga maneno mbona wote tutakaa kando.[emoji23][emoji23][emoji23]
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ameona litamponza ikabidi awe mpole.
🙈🙈🙈🙈🙈🙈🙈🙈🙈🙈🙈Weeeee , Mimi nimechambwa sijui kusutwa juzi sina hamu Dada.
Bora upigwe[emoji23][emoji23][emoji23]
Hana upole wowote. Kwanza unanishangaza unavyosema unamuona ni mpole[emoji23][emoji23][emoji23]
Wanajf kuna jambo limenifanya niilete hii mada kwenu.
Kuna kaka alihitaji na alipendelea kuwa na watoto watatu, na walikubaliana na mkewe wawe na watoto watatu Mungu akiwajaalia.
Baada ya mkewe kujifungua mtoto wa pili akamwambia mumewe asingeweza kwenda leba tena(alijifungua kwa njia ya kawaida na hakukuwa na complications zozote).
Mume alihisi ni kwavile ametoka kujifungua ndio maana anasema hivyo, lakini baada ya miaka mi4 kupita bado msimamo wa mkewe ni uleule, amemwambia ikiwa ni lazima apate huyo mtoto wa tatu anamruhusu kwa roho safi tu akamtafute.
Naomba kuwauliza haswa wanandoa, maamuzi ya idadi ya watoto mnaohitaji kuwa nao huwa ni ya nani? And how if kila mmoja akawa na idadi yake ya watoto anaohitaji inayotofautiana na mwenzie?
Na wanawake utafanya nini ikiwa mumeo anahitaji idadi kubwa ya watoto tofauti na matakwa yako?
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Akuuuu, baki upambane nae mwenyewe, nami nimekuwa relief.
Unaota kweupe hivi? Hebu amka kutoka kwenye hiyo ndotoWanaume hatuna ukomo wa idadi ya watoto.
Tunatafuta hela tu.
Watoto tunaweza kuwapata na mwanamke yeyote.
Hakuna haja ya kuanza kujadiliana juu ya idadi.
Kama amechoka apumzike atapokewa na wengine.!!
Kwani wewe unataka wangapi kwani?Na wewe mwanamke akikuwekea ukomo hata kama idadi yako uitakayo haijafika utakubali sio???
Huu ni ukweli wasiotaka usemweas long as tutaendelea kutoa mahari hili tuwaoweni nyinyi, mfumo dume haukwepeki mkuu.
Hivi unafahamu ninapotoa mahari nakuwa ni kama nimepewa umiliki kwako, sasa kivipi nipangiwe nini cha kufanya na kitu ambacho ni mali yangu?