Maamuzi ya idadi ya watoto ni ya nani?

Maamuzi ya idadi ya watoto ni ya nani?

Kwamimi binafsi yangu uchumi wangu naafya nzuriii ndivyo vitakavyoamua niwe nawatoto wangapi. Nikiwa nauchumi Kama wababa Jesca naafya njema lazima niijaze Dunia kama Mungu alivyomaanisha
 
as long as tutaendelea kutoa mahari hili tuwaoweni nyinyi, mfumo dume haukwepeki mkuu.

Hivi unafahamu ninapotoa mahari nakuwa ni kama nimepewa umiliki kwako, sasa kivipi nipangiwe nini cha kufanya na kitu ambacho ni mali yangu?
Kwahiyo mkuu unataka kusema kwamba mfano leo hii mahari ikafutwa kabisa mtaacha kuwatawala na kuwamiliki wanawake si ndiyo?
 
Ni makubaliano ya wawili, huku wakiangalia vigezo kadhaa. Umri wao, uwezo wa kiuchumi, utayari wa kila mmoja na afya hasa ya mke.

Kuna wakati inabidi mmoja akubali kukubaliana na mwenzake katika baadhi ya mambo, kuna kupata na kukosa, so mmoja anaweza kupata katika idadi ya watoto, mwingine akapata katika issues zingine kama mahali pa kuishi/kujenga, nk.

Hivyo kwa maoni yangu sio lazima ukubaliane katika hiyo vita, utakubaliwa katika vita nyingine.
 
Binafsi niko tayari mume anipangie watoto anao wahitaji na ajue kunipa huduma nzuri sio nizae timu ya mpira huku nachakaa nitaishia mmoja naenda kufunga kizazi.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]na ukizaa timu ya mpira atasema umezeeka wakati yeye bado kijana kwahiyo atatafuta wanawake vijana kama yeye[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]life ain't fair
 
Kuzaa kunamfanya mwanamke achoke Mkuu??

Sidhani, mwanamke akiwa na nidhamu ya kula na mazoezi toka akiwa na mimba mpaka kujifungua hata azae watoto 4 shape inabaki pale pale.
Sasa hao wadhungu sasa wanawake zetu hao wanavyopenda kula na uvivu wa mazoezi...

One in ten, tukubaliane Ni wachache wataweza hiii
 
Sasa hao wadhungu sasa wanawake zetu hao wanavyopenda kula na uvivu wa mazoezi...

One in ten, tukubaliane Ni wachache wataweza hiii
Mkuu usifananishe wanawake wa kizungu na wanawake wa kibongo wanawake wengi wa kibongo hawana matunzo yaani waume zao wanataka watoto wengi ila hawako tayari au hawana uwezo wa kuwatunza wake zao mwanamke anahitaji matunzo
 
Wanaume hatuna ukomo wa idadi ya watoto.
Tunatafuta hela tu.
Watoto tunaweza kuwapata na mwanamke yeyote.
Hakuna haja ya kuanza kujadiliana juu ya idadi.
Kama amechoka apumzike atapokewa na wengine.!!
 
Alafu vitu vizuri ata ukizeeka bado unakua kifaa ebu washauri naamini mkeo mzuri
Kuna watu Hana mtoto hata mmoja Ila Hana mvuto na ni kijana.
Acheni kujidanganya kuwa ukizaa watoto wachache ndio unakuwa na mvuto
 
Wote wawili ingawa mimi napenda wawili Sitaki mke wangu achoke sababu ya kuzaa , outing nitatoka na Nani[emoji3][emoji3].SI wengine tunapenda sifa unatoka outing na mwanamke yupo in shape anavutia sifa na pata Mimi kidume...

Mke wa jamaa ni mashine safiiiiiiii ndo nataka hivyo[emoji23][emoji23][emoji23], heshima.

[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]duh nimefurahi
 
Weeeee , Mimi nimechambwa sijui kusutwa juzi sina hamu Dada.
Bora upigwe[emoji23][emoji23][emoji23]
Hana upole wowote. Kwanza unanishangaza unavyosema unamuona ni mpole[emoji23][emoji23][emoji23]
🙈🙈🙈🙈🙈🙈🙈🙈🙈🙈🙈

Didnt I say sorry for the same???
 
Sir God
Wanajf kuna jambo limenifanya niilete hii mada kwenu.

Kuna kaka alihitaji na alipendelea kuwa na watoto watatu, na walikubaliana na mkewe wawe na watoto watatu Mungu akiwajaalia.
Baada ya mkewe kujifungua mtoto wa pili akamwambia mumewe asingeweza kwenda leba tena(alijifungua kwa njia ya kawaida na hakukuwa na complications zozote).

Mume alihisi ni kwavile ametoka kujifungua ndio maana anasema hivyo, lakini baada ya miaka mi4 kupita bado msimamo wa mkewe ni uleule, amemwambia ikiwa ni lazima apate huyo mtoto wa tatu anamruhusu kwa roho safi tu akamtafute.

Naomba kuwauliza haswa wanandoa, maamuzi ya idadi ya watoto mnaohitaji kuwa nao huwa ni ya nani? And how if kila mmoja akawa na idadi yake ya watoto anaohitaji inayotofautiana na mwenzie?

Na wanawake utafanya nini ikiwa mumeo anahitaji idadi kubwa ya watoto tofauti na matakwa yako?
 
Wanaume hatuna ukomo wa idadi ya watoto.
Tunatafuta hela tu.
Watoto tunaweza kuwapata na mwanamke yeyote.
Hakuna haja ya kuanza kujadiliana juu ya idadi.
Kama amechoka apumzike atapokewa na wengine.!!
Unaota kweupe hivi? Hebu amka kutoka kwenye hiyo ndoto
 
as long as tutaendelea kutoa mahari hili tuwaoweni nyinyi, mfumo dume haukwepeki mkuu.

Hivi unafahamu ninapotoa mahari nakuwa ni kama nimepewa umiliki kwako, sasa kivipi nipangiwe nini cha kufanya na kitu ambacho ni mali yangu?
Huu ni ukweli wasiotaka usemwe
 
Back
Top Bottom