Maamuzi ya idadi ya watoto ni ya nani?

Maamuzi ya idadi ya watoto ni ya nani?

Apa kama vile umeweka mfumo dume haya mambo ni watu wawili sio mwanaume tu kumbuka we unatoa mbegu tu[emoji41][emoji41]
Tunawapaga mtushkie tu, anatoka kwenye mwili wangu. Unanishkia for 9 months halafu unanipa mwenyewe!

Ukiwa mbishi unanishkia mwanangu for 7 years then court inakwambia mpe mwenyewe mtoto wake.

🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

cc: Khantwe
 
mtapanga yotee na kukubaliana yote ila kwenye uzazi mwanamke ndio mwnye maamuzi kwa taarifa yenu akiamua kutoa au kuzaa ni yeye tena muda mwingne mke anatoa mimba bila mume kujua na unaambiwa imeharbka bahat mbaya..ila watoto raha sanaa jamn haswa wakizid wawili🙄🙄
 
Mume atoe mapendekezo tu, anaebeba mimba ndio muamuzi. Maana yeye ndio anaepata mateso na sio mwanaume, kwa hio ikiwa mwanamke kagoma kukuongezea mtoto na wewe unataka mtoto, ongeza mke tu!
 
Naomba kuwauliza haswa wanandoa, maamuzi ya idadi ya watoto mnaohitaji kuwa nao huwa ni ya nani? And how if kila mmoja akawa na idadi yake ya watoto anaohitaji inayotofautiana na mwenzie?

Na wanawake utafanya nini ikiwa mumeo anahitaji idadi kubwa ya watoto tofauti na matakwa yako?

Maamuzi ni ya wote wawili.
Unaangalia Mwili(afya na utayari) na umri kama bado unaruhusu , au kipato.

Kama mwanaume anahitaji idadi ya watoto ambao ni tofauti na matakwa yangu huo ni UKOLONI na hapa wanawake huwa tunajua venye tunafanyaga.
Hamna kubishana naye , ila atashangaa kila siku holaa mpaka ajihisi ameishiwa nguvu za kiume.

Kikubwa ni kusikilizana, maana hata wanaume wenyewe ukijibebesha mimba tuu kuna wakati wana mind "wewe kila siku unabeba mimba tuu".

Narudia tena kikubwa ni MAKUBALIANO mambo ya kulazimishana kisa wewe ni kichwa cha familia kuna siku atajihisi hana nguvu za kiume[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom