Maamuzi ya idadi ya watoto ni ya nani?

God have mercy!

Hivi ni wewe kweli????
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hivi huu ujeuri nani anakufundisha mdogo wangu?
 
ha ha ha ha ulifanya vizuri sana....sasa wengine wanatafuta wenye muonekano kama wanapuliza moto halafu wanategemea washawishike kuzaa watoto wengi,hiyo ni ngumu ni sawa na kwenda mbinguni bila kufa.
Mungu anawaona, hivyo sie tusiokuwa na muonekano ndio hatutakiwi kuzaa?[emoji134][emoji134][emoji134]
 
Mume atoe mapendekezo tu, anaebeba mimba ndio muamuzi. Maana yeye ndio anaepata mateso na sio mwanaume, kwa hio ikiwa mwanamke kagoma kukuongezea mtoto na wewe unataka mtoto, ongeza mke tu!
Then I will get my kids, right???
 
Wanaume wa hivyo hawaitakii mema familia yao hasa kama kipato chenyewe ni hohehahe.

Ilikuwa dhana za wazee wetu, walifyatua tu na ardhi ilikuwa na neema tele wakati huo.

Kuna wanaume hawapo tayari kwa makubaliano, anachokitaka yeye ndio hicho hicho.
 
Duuuuh!!
Mbona kuna muda huwa mnawakimbia?
 
Hili suala mi nahisi sio la mume na mke tu.
Mfano mume na mke wakikubaliana idadi ya watoto ni 0. Hapa wazazi si wanaweza kuingilia?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sasa wazazi wanaingiliaje jamani?
 
Safi sana
 
Hopefull tayari unao madam
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…