Maamuzi ya idadi ya watoto ni ya nani?

Hivi kwani mwanamke ana maamuzi juu ya nini katika familia?
 

Hii hapa.

Vipi na Mimi niki make the money naruhusiwa Ku make the rule?

Kama suala ni pesa!
 
How old are you bro??
Mingi tu,kaka unataka mke achoke Hadi huwezi ongozana nae????hapana aiseee mke lazima atambulishwe kwa kujiamini na heshima zote.

Mambo ya kuwa na mke huwezi kujivunia nae ya nini hayo
 
Ni mwili wake maamuzi ndani ya ndoa ni ya wote wawili. Kama mnatofautina idadi ya watoto wawili tatizo si kubwa mnaweza kuamua kuwa na mmoja zaidi, lakini kama mke anasema watatu na mume anataka timu ya mpira basi hapo nyumba lazima iwake moto.

Kipato unakuta kipo vizuri tu, ila mke ndio hahitaji idadi kubwa ya watoto.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…