jose mjasiriamali
JF-Expert Member
- Sep 17, 2014
- 1,760
- 1,580
Hapo wakisema wamekuta vitu flani wanawezaje kuthibitisha kuwa hivyo vitu hawajaingia navyo wao,bado tuna tatizo SanaPolice wanaruhusiwa kuingia ndani kwa mtuhumiwa bila ruhusa na kuvunja milango
Mkuu mbona unadharirisha wazazi wako. Ndio waliokulea na kukufundisha ivyo kweli ama shuleni uliyosoma.Kumbuka kuna yule anaemkaza mama yako yuko hapo na ndio unamuita kishoia!
Nimeuliza mkuu nasubiri jawabuKwenye kifungu gani cha sheria?
Wewe naona umejiunga na JF wakati huu wa uelewa mdogo wa polisi kuhusu PGO je na wewe unauelewa mdogo kiasi chaoHuyo gaidi wanamchelewesha tu kama alifikia hatua ya kutapeli familia yake kwa kujimilikisha mali zote za urithi wampige haraka mvua 50
Hasa akikumbuka kuwa mumewe alichomwa na bisi bisi na akaning'inizwa kama Popo,maana wamama huwa wana majonzi sana - anaweza kuanza kulia na kushindwa kutamka neno lolote lile
Sasa kaa kwa kutulia kenge wewe! Usiniandikie aya ndefu kama unatafuta bwana sema!Mkuu mbona unadharirisha wazazi wako. Ndio waliokulea na kukufundisha ivyo kweli ama shuleni uliyosoma.
Unataka ukamsaidie. Afu suala la kukazwa mbona kawaida mkuu ama wewe huko huwa hawafanyiwi hayo.
Afu mie nilijua kuwa utakuwa ni mjanja Sana utakuja na tusi jipya mbona ya kawaida,hasahasa utaishia kutaja viungo vya sirini ambavyo niliwasikiaga watt waliolelewa na wazazi wao wazuri na wanawafundisha Mana walikuwa wakiwasikia wakiyaongea sebuleni wazazi wao na wao wakaiga wakafanana na wewe.
Mie maza alikuwa bize na ivyo ulivyosema.
OK sawa, sikuona alama ya ulizo(?) So sentensi yako haikuwa ni swali bali ni taarifa. Sasa nimekuelewaNimeuliza mkuu nasubiri jawabu
Sijui kama anauliza swali huyo?Kwenye kifungu gani cha sheria?
Pamoja na awareness yooooteeee hii kuhus PGO bado unauliza swali rubbish kama hili au unadhani PGO ni kwa ajili ya kukandamizia ukiwa unaamwandikisha maelezo mtuhumiwa? Mungu tusaidie!!!Kwenye kifungu gani cha sheria?
Kwa nje anaonekana anasimamia haki mkuu, lakini kumbuka kuna amri kutoka juu, anaweza kuja na hukumu ambayo pamoja na ushahidi usio na shaka, bado ikaja kivingine.Muda sio mrefu mawakili wa jamhuli wataweka pingamizi hawana Imani na mh mtukufu jaji.
Mshua yupo poa Hana upendeleo haegemei upande wowote.MUNGU ambariki Mr jaji.
hututoi kwenye reli ya Kesi we kunguni mnyonya damu.Mbona advocates wanaomtetea makengeza ni vyasaka na vishoia wenzake
Hawana kazi ya kufanya hawa ma-parodyKwa nini unajificha kwenye ID mpya? Soon utabainika, ngoja niwasiliane na wakurungwa IP yako ID ziunganishwe.
Na akitoa hukumu tuendelee kumsifia hivi hivi huo utakuwa ndio ubinaadamMuda sio mrefu mawakili wa jamhuli wataweka pingamizi hawana Imani na mh mtukufu jaji.
Mshua yupo poa Hana upendeleo haegemei upande wowote.MUNGU ambariki Mr jaji.
Na hii kesi ikiisha itaondoka na nyakoro na ndiyo utakuwa mwanzo wa kupata IGP mwanamkeKamanda Sirro alisema kuna mambo makubwa sana katika kesi hii. Mungu ni mwema na kweli yanaanza kufumuka sidhani kama Sirro hii kesi anaipenda kabisa na anajuta kuipulizia moto.
yaani hii kesi kama Pembe la Ng'ombe...... halifichiki wanajisumbua!!!Tweeter i,epigwa pin au ni mie mwenyewe siipati hadi sa nne hii?