Maamuzi ya kesi ndogo katika Kesi ya Mbowe na Wenzake kutolewa Oktoba 19, 2021

... the best they can do ni DPP kufuta kesi halafu hapo nje ya mahakama wakamatwe na kufunguliwa kesi upya kwa ushahidi mwingine (ulioboreshwa).
Aahh sawa kwahiyo ushindi wa kesi ndogo kwa Akina mbowe.

Unaondoa maana nzima ya kesi kubwa?.
 
Bado
Shahidi: Mlango ulikuwa wazi na Kitasa nikakuta kimevunjwa,kwenye hii sentensi mimi sioni sehemu aliyosema polisi walivunja mlango bali amesema alikuta kitasa kimevunjwa bila kuelewa nini kimetokea.

Bado kuna maelezo kina nani walikuja na wakaacha namba zao. Walipofuatwa walikiri kufika sehemu husika si kulinda nyumba bali ....
 
Nashukuru Mungu kwa elimu yangu hii ya kuungaunga inanipa heshima na kuonekana mtu kwenye watu,kwa wanachokionyesha mawakili wa serikali ni kuliaibishaTaifa hii kesi hata Pierre Liquid anaimaliza vizuri [emoji3578]
 
Je itabidi kwanza tusubiri hukumu ya hii kesi ndogo ama tunaendelea na shauri la msingi?
 
Ushahidi wa huyu mke umenitoa machozi,
 
Hii kesi ,Wana wa Adam wanateswa bure, ila tutayajua mengi ,na tumeisha yajua mengi,may be ndo maana mwendazake alishauriwa vizuri, akaona isiguswe
 
Sasa kaa kwa kutulia kenge wewe! Usiniandikie aya ndefu kama unatafuta bwana sema!
Kenge mbona kiumbe ameumbwa Kama wewe na wote mmeumbwa na mmoja. So kenge Hana shida ni kiumbe Kama wewe anakula ,anapumua na atakufa Kama wewe.

Afu mbona bwana ni mzuri Hana shida ama wewe haumpendi bwana shamba,bwana afya,bwana yesu ,na wengineo mkuu ama bwana mme ni wazuri mkuu tunawahitaji katika jamii yako.

Ila wazazi wako watakuwa wajanja Sana waishapokea Nobel prize kwa malezi.
Nadhani ni wajanja hakutakiwa kukuzalia huku afrika mkuu ama ni bahati mbaya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…