Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbaazi ikikosa mauaCanavaro alikua captain tukala 7.
Canavaro alikua captain hata challenge hatukuchukua.
Toeni sababu zingine
Mpaka beki 3 anakuja kukava kwa beki wa kati jiulize Nyoni na Morris walikuwa wapi....Ila kusema kwamba haji mwinyi alikuwa akifanya coverage n uongo huyo ndiye aliyezengua kweli Leo coz mtu anakama mechi zaid ya kumi hajaanza kwenye klabu yake Leo unakuja kumwanzisha? Huu n ujinga
ukiambiwa kalete mchezaj unaenda kumleta oscar joshua?!..poor timing ya mpira,control sifuri,anticipatioo zeroBeki 3 ya undava na clear za uhakika ni Oscar joshua hawa akina mwinyi mara tshabalala hatutatoboa wanawaambia.
TFF kama imeshindikana tufanye CHAD STYLE basi ili tujijenge.
Siyo mnatuaminishaaaaaaaa halafu mnapigwa mzunguko tena nyumbani.
au mko bize na FIGISUFIGISU za uchaguzi wa wale jamaaa