Kumbe kazi yake kuwapokea wabungeNimeima leo bungeni kulikuwa na robot linalokarubisha wabunge.
Je, bajeti ya manunuzi au ya kutengeneza robot hilo ilitoka wapi?
Nini hasa dhumuni la robot hilo kwa sasa katika nchi yetu yenye uchumi wa hali ya chini kwa wananchi wake wengi?
Binafsi ninayo maoni yangu, ila nitapenda kusikia kwanza hoja za watanzania wenzangu.
Mtanikumbuka 😂😂😂🔥Tunachezewa Sana Wananchi
Ule Wa Robot Bungeni Ni Mzaha Mtupu, Na Lazima Mtonyo Umepigwa Mrefu Sana
Siyo Kwa Mabaya Lakini Mazuri Ndugu ZanguMtanikumbuka 😂😂😂🔥
Ungeweka na picha tuoneeNimeona leo bungeni kulikuwa na robot linalokaribisha wabunge.
Je, bajeti ya manunuzi au ya kutengeneza robot hilo ilitoka wapi?
Nini hasa dhumuni la robot hilo kwa sasa katika nchi yetu yenye uchumi wa hali ya chini kwa wananchi wake wengi?
Binafsi ninayo maoni yangu, ila nitapenda kusikia kwanza hoja za watanzania wenzangu.
Weka pichaNimeona leo bungeni kulikuwa na robot linalokaribisha wabunge.

I can't relax.