Maamuzi ya kununua au kutengeneza 'robot' yalitolewa lini na ni nani walitoa maoni?

Maamuzi ya kununua au kutengeneza 'robot' yalitolewa lini na ni nani walitoa maoni?

Siyo Kwa Mabaya Lakini Mazuri Ndugu Zangu



Hivi Nisipokuwepo SGR Itatembea Kweli?
Ndege Zitanunuliwa
Bwawa Litajengwa
Inanibidi Nichape Kazi Kweli Kweli
By Mzilankende, Jiwe, Chuma, Baba Jesca
Yataendaje wakati yeye alivuluga uchaguzi akatuletea hao watu wasiojua wapo pale kufanya nini
 
Kwani Waziri wa teknolojia humjui ? Hilo lilikuwa wazo lake
 
Pesa za walipa kodi
Screenshot_2024-05-16-21-28-40-965_com.android.chrome~2.jpg
 
I can't relax.
Ni muhimu kupata ufafanuzi wa maswali yangu. Sikufunzwa unyonge,nilifunzwa kuhoji na kutafiti ili kupata msawazo wa fikra kwa maslahi mapana ya taifa na kizazi kijacho!

Tunawalaumu sana mababu zetu kwamba hawakutumia maarifa kwenye baadhi ya maamuzi, je sisi leo hii tunafanya nini kwa maslahi ya taifa?
Sawa Lanlady ☺️
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706] hivi hua wanatuonaje? Mbona kama wanajichoresha sana
Wanakosea sana hawajui... bora wangeleta latest kama kina roboti Sophia na mengineyo siyo hili la Enzi hizo
 
Nimeona leo bungeni kulikuwa na robot linalokaribisha wabunge.

Je, bajeti ya manunuzi au ya kutengeneza robot hilo ilitoka wapi?

Nini hasa dhumuni la robot hilo kwa sasa katika nchi yetu yenye uchumi wa hali ya chini kwa wananchi wake wengi?

Binafsi ninayo maoni yangu, ila nitapenda kusikia kwanza hoja za watanzania wenzangu.
Traore wa Bokinafaso kanunua matrekta 400 na vitendea kazi za kilimo zaidi ya 300 ili kuinua maisha na uchumi wa watu wake. Sisi tumenunua Roboti la kukaribisha viongozi kwenye kumbi!!!

Nchi imepatwa na aibu tunaona sisi wananchi!! Tunamshukuru mama kwa roboti
 
Back
Top Bottom