Maamuzi ya kununua au kutengeneza 'robot' yalitolewa lini na ni nani walitoa maoni?

Hii ya afya niliisikia. Na hata hivyo, hiyo inaweza kuwa tofauti kwasababu matibabu yanalipiwa. Na unaweza kuchagua kutohudumiwa nae. Japo bado haina tija sana!
Je, huyu eunice yeye analisaidiaje taifa? Kwamba wasemaji wa wizara hawana uwezo wa kutoa taarifa kwa usahihi? Hilo robot lina tija ipi kwa taifa?
Tija ndio hiyo nimekueleza hapo,utaanza kuwaona kwenye tiba.

Pia seems mna akili fupi,hiyo ni kuonesha kwamba Tanzania tayari tuna teknolojia ya 5G na uwezo wa kutengeneza huyo roboti.

Leo hii tele medicine zinafanyika

Elimu mtandao

Kusikiliza.mashauri ya Mahakama.kwa.mtandao.
 
Hapo kwenye "mna akili fupi" ndipo unakosea. Badala ya kujibu hoja unatoa kauli ya kudharau uwezo wa wengine kuhoji!

Labda nikuulize, hivi unadhani kila kinachoanzishwa na 'wazungu' kiko sahihi?

Hivi kwa utashi wako, unadhani wakoloni walitumia mbinu gani ili kuwaaminisha waafrica kuwa tamaduni zao ni za kishenzi? (Tamaduni ambazo baadhi yake leo hii inatumika nguvu ya ziada kuzirejesha) Je, unafikiri hakukuwa na wachache waliohoji ingawaje pengine walionekana wana akili fupi?
Huyo robot ni asset or liability?
 
Nimeona leo bungeni kulikuwa na robot linalokaribisha wabunge.

Je, bajeti ya manunuzi au ya kutengeneza robot hilo ilitoka wapi?

Nini hasa dhumuni la robot hilo kwa sasa katika nchi yetu yenye uchumi wa hali ya chini kwa wananchi wake wengi?

Binafsi ninayo maoni yangu, ila nitapenda kusikia kwanza hoja za watanzania wenzangu.

NB:Kwa wanaohitaji picha; Huwa sipendi kuforward au kusave vitu vinavyonikera. Sorry for that. Mwingine anaweza kutuma kwa niaba
Roboti hili ni kwa ajili ya wenye biashara kuweka milangoni, ingia gugoo utapata wauzaji na bei zake.
 
Nimeona leo bungeni kulikuwa na robot linalokaribisha wabunge.

Je, bajeti ya manunuzi au ya kutengeneza robot hilo ilitoka wapi?

Nini hasa dhumuni la robot hilo kwa sasa katika nchi yetu yenye uchumi wa hali ya chini kwa wananchi wake wengi?

Binafsi ninayo maoni yangu, ila nitapenda kusikia kwanza hoja za watanzania wenzangu.

NB:Kwa wanaohitaji picha; Huwa sipendi kuforward au kusave vitu vinavyonikera. Sorry for that. Mwingine anaweza kutuma kwa niaba
Acha Watu Waendelee kujipimia...
 
Tija ndio hiyo nimekueleza hapo,utaanza kuwaona kwenye tiba.

Pia seems mna akili fupi,hiyo ni kuonesha kwamba Tanzania tayari tuna teknolojia ya 5G na uwezo wa kutengeneza huyo roboti.

Leo hii tele medicine zinafanyika

Elimu mtandao

Kusikiliza.mashauri ya Mahakama.kwa.mtandao.
Sisi ni watumiaji tu, hatuandai na hatuna sehemu ya kutengeneza ila za bia tunazo.
 
Nimeona leo bungeni kulikuwa na robot linalokaribisha wabunge.

Je, bajeti ya manunuzi au ya kutengeneza robot hilo ilitoka wapi?

Nini hasa dhumuni la robot hilo kwa sasa katika nchi yetu yenye uchumi wa hali ya chini kwa wananchi wake wengi?

Binafsi ninayo maoni yangu, ila nitapenda kusikia kwanza hoja za watanzania wenzangu.

NB:Kwa wanaohitaji picha; Huwa sipendi kuforward au kusave vitu vinavyonikera. Sorry for that. Mwingine anaweza kutuma kwa niaba
ukipata jibu niambie
 
Duh

Hii kitu mbunge wa Kawe askofu Dr Gwajima alishaielezea kitambo pale Kanisani kwake

Akisema alienda Japan na kupokelewa na Robot hotelini na kumpokea Mizigo na kumsindikiza hadi Chumbani

Walipofika Chumbani Robot akamwonyesha baba Askofu mambo Yote muhimu kisha akamuaga na kujitambulisha kuwa yeye ni Robot

Sitashangaa nikisikia Eunice kaletwa na baba askofu Dr Gwajima Mbunge [emoji23][emoji23]

Mlale unono [emoji3][emoji3][emoji91]
Rahaa ya kukaribishwa, ni ukaribishwe na binaadamu mwenzio na si robot!!
 
Duh

Hii kitu mbunge wa Kawe askofu Dr Gwajima alishaielezea kitambo pale Kanisani kwake

Akisema alienda Japan na kupokelewa na Robot hotelini na kumpokea Mizigo na kumsindikiza hadi Chumbani

Walipofika Chumbani Robot akamwonyesha baba Askofu mambo Yote muhimu kisha akamuaga na kujitambulisha kuwa yeye ni Robot

Sitashangaa nikisikia Eunice kaletwa na baba askofu Dr Gwajima Mbunge 😂😂

Mlale unono 😀😀🔥
🤣 🤣 🤣
 
Tunachezewa Sana Wananchi
Ule Wa Robot Bungeni Ni Mzaha Mtupu, Na Lazima Mtonyo Umepigwa Mrefu Sana
Huwa nawaza sana, kama nchi inaviongozi watu wazima ambao wanaona mambo yako sawa na hawajali, tusitegemee kusogea mbele kwa kasi inayostahili. Imagine watu wazima wanasogea kupata picha na limdoli! Akili zao baada ya hapo huwa zinawaza nini!
 
Back
Top Bottom