Maana halisi ya kutafuta mpenzi, ni kutafuta mtu aje akusaidie kutumia fedha zako ulizozitafuta kwa jasho

Maana halisi ya kutafuta mpenzi, ni kutafuta mtu aje akusaidie kutumia fedha zako ulizozitafuta kwa jasho

Basi hata kama huna fedha na wewe utajisemea et kutafuta mpenzi ni kutafuta mtu aje kula fedha zako,

Kwa mwanaume unatafuta mpenzi ili upate Sex, watoto na huduma za nyumban kmaa kuwatake care watoto, chakula kitamu cha moto nk,
Achana na mentality ya kibinafsi, mpenzi unamhudumia sio anakula hela yako
 
Back
Top Bottom