Maana halisi ya "Luxury Bus" ni nini?

Basi za mchina hazina comfort kabisa , suspension zao ziko jittery mwanzo mwisho mpaka huwa nashindwa kusoma vitabu nikiwa safarini.
 
Kwani kuna bus gani luxury la kwenda simiyu, mana wasukuma ni karaha kwelikweli, yanaongea kwa nguvu uku yanatafuna maindi ya kuchoma na miwa.
😆😆 ongeza huwa wanaongea kwa sauti kama wapo kwenye mashamba ya mpunga wakifukuza ndege😆
 
Tanzania bado hakuna luxury bus , hizo features zote hapo umezitaja lakini mabasi hayo yapo kwenye steel suspensions na yote ni engine mbele
Ili basi at least iwe considered luxury bus
Full Air suspensions
Rear mounted engine for quiter cabin
Choo cha haja zote
Sealed windows
Seats with enough leg room
130° plus seat inclination angle

Ukitembea kuanzia zambia kwenda kule juu ndo unakutana na basi hizi , sio kwamba watanzania hawawezi kuzinunua la, sheria za Tanroad zinakinzana na specifications za manufacturers wengi wa luxurious buses, maana ili upate seats 53 zenye inclination angle nzuri lazima basi liwe refu.
Tanroad hawataki basi ndefu
 
Maandazi, maindi ya kuchoma, mayai, biskut, sambusa, soda tatu za aina tofauti afu mtoto kanywa nusunusu kila moja, yani kitumbo kimemvimba ndii anahemea juujuu kama anataka kufa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaaah

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
 
sikubishii kwasaabu hiyo ndio tafsiri yako ya luxury bus
 
Maandazi, maindi ya kuchoma, mayai, biskut, sambusa, soda tatu za aina tofauti afu mtoto kanywa nusunusu kila moja, yani kitumbo kimemvimba ndii anahemea juujuu kama anataka kufa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Basi za mchina hazina comfort kabisa , suspension zao ziko jittery mwanzo mwisho mpaka huwa nashindwa kusoma vitabu nikiwa safarini.
Achana na kusoma siku moja nunua kahawa yako ujaribu kunywa gari ikiwa inatembea
 
Mkuu hii kitu ipo asee na inapiga route za Musoma-Arusha na Arusha-Loliondo nk...
Hii mashine acha kabisa!!!. Ikipita jirani yako unasikia kabisa hii kitu ina nguvu.Inakwenda na ratiba bro, hizo gari zenu za kichina route hii ya Arusha-Musoma au Arusha - Tarime haziwezi .
 
Achana na kusoma siku moja nunua kahawa yako ujaribu kunywa gari ikiwa inatembea
Hahahah siwezi jaribu,nilipanda intercape bus siku 1 kisha nikapewa kikombe cha kahawa asubuhi nikanywa vizuri kabisa bila shida.
 
Hii mashine acha kabisa!!!. Ikipita jirani yako unasikia kabisa hii kitu ina nguvu.Inakwenda na ratiba bro, hizo gari zenu za kichina route hii ya Arusha-Musoma au Arusha - Tarime haziwezi .
Hiyo naweza kuhiita route dume, maana gari zake ni roho ya paka, springs zake kama jiwe yaani bus hazinepi na likiruka ni jumla jumla.

Nilipanda moja hivi kutoka Mpanda/katavi kuelekea arusha asee, kwanza njia yenyewe sasa na hiyo bus speed yake 😲!!.
 
Niliwahi panda Scandnavia kwenda Mbeya, tukapewa kahawa, chai au maziwa.

Miaka hiyo.
Hiizi ndio gari nilizowahi shuhudia kuhudumu katika level za luxury Tanzania.
Kuanzia
1.wahudumu Na huduma Yao.
2.Sheria za kampuni.
3.Usalama wa abiria na Mali zao.
Sijui zilipoteaje poteaje aiseee

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…