Maana halisi ya "Luxury Bus" ni nini?

kwan ungeandika kwa lugha ya kiswahili ungepungukiwa nn!!
 
Vikizi vigezo
 
Muundo wa gari kuanzia nje hadi ndani, pamoja na huduma extra luxurious wanazotoa kama Wi-Fi, drinks & snacks, charging sockets, ample and comfortable seat space, air conditioning, Na pia usisahau jinsi gari linavyoendeshwa kuanzia point A hadi B. Hayo yote ndio yatakueleza bus/coach hilo ni ordinary, semi-luxurious, au luxurious.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…