Maana halisi ya "Luxury Bus" ni nini?

Maana halisi ya "Luxury Bus" ni nini?

Haya ya Asia unalala kabisa yanaitwa sleeping bus

Screenshot_20210511_174310.jpg


18495_54_1.png
 
Ni wadanganyifu tu, wanajua watanzania siyo wafuatiliaji wa kujua haki zao, all in all
Luxury buses or coaches are typically used for travelling longer distances, coaches place more of an emphasis on comfort and entertainment. Coaches are often equipped with larger, more comfortable seats, whereas buses possess standard two and three-seater, bench-style seats.
kwan ungeandika kwa lugha ya kiswahili ungepungukiwa nn!!
 
View attachment 1780996
1. Je ni hizo huduma hapo [emoji3516] au ni upya wa basi?
2. Basi la zamani lenye vigezo hivyo huu au basi lolote jipya?

Ikitokea huduma tajwa hapo ikakosekana kwenye gari na kiwango cha nauli umelipia luxury abiria anasaidiwaje au achukue hatua gani?.

EWURA au LATRA(mtanisahihisha) wanatumia kigezo gani kugawa haya madaraja?

Wajuvi tusaidiane hapo[emoji3516]
Vikizi vigezo
 
Muundo wa gari kuanzia nje hadi ndani, pamoja na huduma extra luxurious wanazotoa kama Wi-Fi, drinks & snacks, charging sockets, ample and comfortable seat space, air conditioning, Na pia usisahau jinsi gari linavyoendeshwa kuanzia point A hadi B. Hayo yote ndio yatakueleza bus/coach hilo ni ordinary, semi-luxurious, au luxurious.
 
Back
Top Bottom