Maana halisi ya "Luxury Bus" ni nini?

[emoji3][emoji3]. Wengine ni ubahili au ni vile tu kazoea shida, unakuta mabasi mazuri yapo lkn kang'ang'ana na hayo mengine pasua kichwa.
Binafsi napenda kusafiri vizuri ni bora nisile njiani. Km leo nipo kwa VIP lkn nimebaki na buku mbili mfukoni ha haaa maisha ni kuchagua.
 
marxlups na FRANC THE GREAT ni kweli kabisa Luxury ni anasa. Kwann ni anasa?
Hizo huduma zinazopatikana ni muhimu kwa binadamu lakini zinatolewa wap? Basi ni kwa ajili ya kusafiri na hata hizo huduma zikikosekana safari utafika tu.

Waliweka hizo kama anasa tu za kufanya safari ivutie au ufurahie bila kuchoka. Tunaita anasa zinapokuwa kwenye basi sababu sio mahali pake.
 
Mkuu zipo hadi za ULTD voda kwa 120k majengo mengi KKoo wanatumia saiv
 
Mkuu,
Asante kwa kunielimisha.
 
πŸ€ͺπŸ€ͺ unategemea biskuti na soda ofa ya BM ama?
 
Mkuu Kibosho1 kuna usemi unasema "what is luxury to you is necessary to me" sijui kama umewahi kuusikia, nilitoa mfano hapo awali nikasema kuna enzi fulani hapa nchini ilikuwa ukienda kununua radio cassette dukani unaambiwa hiyo ni anasa, ukivaa suti, miwani na tai unaambiwa unafanya anasa, ukiwa na TV na saloon car unaambiwa unafanya anasa, sasa kitu kuita anasa kinatategemeana na mtu anayekihitaji na kwa kukidhi hitaji gani
 
πŸ˜πŸ˜πŸ˜†Na huu ndio ukweli kwa sababu hata miaka ya 2010 ukiwa touch kali utaambiwa ni anasa....1990 ukivaa nguo za dukani ilikua ni anasa...nimekuelewa mzee
 
Luxury bus ni basi lenye huduma za anasa yaani luxury. Upya wa basi sio suala la lazima. Not necessary!

Huduma za anasa ni kama vile; Wi-Fi, kiyoyozi (AC), chakula na vinywaji, runinga, kitanda cha kulala, maliwato n.k.
Ongeza na ubora wa seat,seat hufanya abiria awe comfortable,asiumie mbavu na mgongo
 
Basi bila matairi mazuri mtalala porini
 
[emoji2957][emoji2957] unategemea biskuti na soda ofa ya BM ama?
Ndio mkuu na nitafika sijachoka, nikifika tu napata ile nyama pendwa tekenya, wine glass chache siku imeisha.
 
Wanajitahidi lakini seat 4 tu za pale mbele ndio zina huduma za kvip.....
Unazungumzia BM la kwenda Moro ndo lipo hivyo, na halina choo. Arusha Dar ni VIP basi zima.
 
πŸ˜πŸ˜πŸ˜†Na huu ndio ukweli kwa sababu hata miaka ya 2010 ukiwa touch kali utaambiwa ni anasa....1990 ukivaa nguo za dukani ilikua ni anasa...nimekuelewa mzee
Asante
 
Afadhali ulipanda na kuku..... Kuna mengine nimeshuhudia jaa wanasafiri na mbuzi ndani ya basi. Mkishuka wote mnatoa harufu kama beberu la mbuzi au kondoo... [emoji1787]
πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
πŸ˜πŸ˜πŸ˜†Na huu ndio ukweli kwa sababu hata miaka ya 2010 ukiwa touch kali utaambiwa ni anasa....ukivaa nguo za dukani ilikua ni anasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…