Demi
JF-Expert Member
- Nov 22, 2016
- 40,466
- 88,695
[emoji3][emoji3]. Wengine ni ubahili au ni vile tu kazoea shida, unakuta mabasi mazuri yapo lkn kang'ang'ana na hayo mengine pasua kichwa.Hahahaaa, mtu anasafiri kati ya Kongwa na Dodoma kwa mabasi yale ya kule, siku akipanda bus lenye AC tu anazunguka Kongwa nzima kutangaza amepanda luxury, na sembuse akibahatika kuwa na simu yenye android basi ni tabu, atasifia hilo bus kama lake vile
Binafsi napenda kusafiri vizuri ni bora nisile njiani. Km leo nipo kwa VIP lkn nimebaki na buku mbili mfukoni ha haaa maisha ni kuchagua.