Maana halisi ya "Luxury Bus" ni nini?

kwanini baadhi ya bus zao (nililopanda mie enzi hizo) zilikuwa hazifunguki vioo?
Kwa uzoefu nilioupata toka ughaibuni ni kwamba mabasi hayafunguki vioo kwakuwa yana temperature regulators kwa maana ya kwamba kukiwa na joto wanatumia vipozahewa na kukiwa na baridi wanatumia viongeza joto kwahiyo inakuwa hakuna haja ya kufungua madirisha na pia wana uhakika wa kuwa vifaa hivyo vinakuwa up to date ili kutosababisha usumbufu kwa abiria, huenda Scandinavia naye alitaka kufika huko, nakumbuka alikuwa na mabasi yenye siti za kulala na yalikuwa na kipakata miguu, yalikuwa yanakwenda Mwanza, Kampala na Nairobi
 
Extrovert Mrejesho kuna mpaka za zuku 69k ULTD watu mpaka 20 lakini inategemea na maeneo kwa Dar tu
Mkuu Zuku niliwapigia ila inaonekana huduma inaishia ushuani tu! Mie niko Tabata huku 😪 ndio maana niko sensitive na hao Voda
 
Huko bado,ni Kkoo, Msasani Mbezi Beach bado hawajaimaliza hata DAR,ila naamini watapiga sana hela
Mkuu Zuku niliwapigia ila inaonekana huduma inaishia ushuani tu! Mie niko Tabata huku 😪 ndio maana niko sensitive na hao Voda
 
Huko bado,ni Kkoo, Msasani Mbezi Beach bado hawajaimaliza hata DAR,ila naamini watapiga sana hela
Watapiga hela kweli na ikibidi gharama zipungue zikifika hata 50k kila mtu wa kipato cha kati anaweza kumudu!
 
Kumpa mtu benz la bei mbaya wakati halihitaji na huku watu wanakufa kwa kukosa dawa, pia ni kumpa mtu jengo la kifahari wakati tayari ana majengo chungu mzima nchi nzima na wala hayatumii kwa lolote zaidi ya fahari
Hii ndio bongo mkuu
Wajawazito wanalala chini lakini tunamlimbikizia asie hitaji
Cheep political objective
Watanzania tudai katiba mpya haya yote yataisha
 
😆😆😆😆🤣🤣🤣🤣 Hiyo namba 5 ndo kero yangu ingine,unapanda basi mpaka mnafika ni nyimbo za dini tu. Sa unajiuliza kwa wasio na dini? Au wenye dini nyingine?.

Kiukweli wamiliki wa mabasi wanapaswa kubadilika sana,unaoigaje nyimbo unazopenda wewe? Waweke hata movies kiliko manyimbo yasiyoeleweka.
 
Kuna hili basi jipya linaitwa Kureed Hunters, aina ya Scania Irizar wanasema ni luxury. DAR - MWANZA, Nauli ni Tshs. 55,000/=





 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…