Faana
JF-Expert Member
- Dec 12, 2011
- 38,657
- 44,759
Kwa uzoefu nilioupata toka ughaibuni ni kwamba mabasi hayafunguki vioo kwakuwa yana temperature regulators kwa maana ya kwamba kukiwa na joto wanatumia vipozahewa na kukiwa na baridi wanatumia viongeza joto kwahiyo inakuwa hakuna haja ya kufungua madirisha na pia wana uhakika wa kuwa vifaa hivyo vinakuwa up to date ili kutosababisha usumbufu kwa abiria, huenda Scandinavia naye alitaka kufika huko, nakumbuka alikuwa na mabasi yenye siti za kulala na yalikuwa na kipakata miguu, yalikuwa yanakwenda Mwanza, Kampala na Nairobikwanini baadhi ya bus zao (nililopanda mie enzi hizo) zilikuwa hazifunguki vioo?