Maana halisi ya "Luxury Bus" ni nini?

Yes kipo. Full AC. Wanajitahidi kiasi chake
Hiyo bus wanatoza nauli 36K.

Kwa hiyo gharama hupati cha maana zaidi ya choo.

Hizo ni levels za semi luxury.
 
Kwa umbali uleule kwenye ndege kuna Economy, Business na First Class.

Luxury sio anasa tena dunia ya sasa.
 
Kuna watu wamesha-normalize povery na kuwa sehemu ya maisha yao.

Na wapo comfortable na hilo.
 
Miaka kama mitatu nyuma niliwahi panda shabiby luxury kabisa.

Wakaweka hizo movies.

Niliwadharau sana toka siku hiyo.
 
Katika mabasi nilyopanda naweza kusema KILIMANJARO Express ndio wana hizo huduma za luxury
Ac mwanzo-mwisho.
Comfortable seat.
Toilet safi kabisa.
Mda wa kula hotelini ni nusu saa (30 min), kampuni nyingine ni dkka kumi tu!
Mwendo (uendeshaji) murua kabisa.
Konda-mwanamke mzuri mwenye kutoa huduma ya viwango wakati wote (miithili ya air hostes), kampuni nyingine makonda ni wahuni tu kazi yao pekee ni kuokota abiria wa njiani shenzi kabisa.
Runinga kama kawaida ila sio muvi ya kina mkojani, ni media zilizo pangiliwa vizuri
Biskuti+ soda+maji+pipi.
Booking office very comforting huduma zote ukiwa unasubiri gari ifike usepe

Kwakweli nikitumia pesa yangu kwa hawa jamaa huwa sijutii kabisa ila kampuni nyingine tutapambana mpaka nihakikishe natoa pesa ya mmiliki wa gari pekee hakuna cha ya mpiga debe wala nini
 
Kama mtu anasema kuwa na choo ni anasa unamwelewaje
Kuna watu wameshazoea maisha magumu ya matesomateso kwao hayo ndio maisha ya kawaida. Watu Kama hao walishajikatia tamaa miaka mingi sana 😂😂, Wala usibishane nae we muelewe tu upite kushoto ukicheka kimoyomoyo
 
Kuna watu wameshazoea maisha magumu ya matesomateso kwao hayo ndio maisha ya kawaida. Watu Kama hao walishajikatia tamaa miaka mingi sana 😂😂, Wala usibishane nae we muelewe tu upite kushoto ukicheka kimoyomoyo
Ni kweli kabisa, wao tafsiri ya choo ni choo cha shimo, kuchamba kwa nyasi na kiwe na pazia la gunia
 
Haji Manara kumbe hii ndo ID yako 😀, alafu kumbe we ni mlevi bana aisee 😂😂
 
Usikasirike mama kuna kitu umejifunza, siku nyingine usiwe 'fala' 😂
 
Hii nimeona mara nyingi sana ndio mana kujiuliza,nisije lalamika nikaonekana mshamba. Kweli Luxury haina AC? Ndani ofa chungwa 1 tu!!🤔 Inabidi mamlaka husika zisimamie hichi kiti vizuri mana raia wengi hawajui. Wengi wanaju ni upya wa basi
Mamlaka zinapanda vieitee unawaeleza ujinga gani
 
Walishakitia plaster watu walikosa ustaarabu, fikiria mtu ametoka Kongwa anajichamba kwa kutumia ukurasa wa kitabu au daftari, choo kitaacha kuziba, nani atakuwa anashinda huko chooni kutoa shule!!!
Aisee hivi hawa watu Kongwa wana shida gani lakini?
 
Abiria wanatofautiana (target market)
Kuna akina nyie ambao ni mradi ufike tu hamjali misukosuko yoyote itakayotokea hapo kati, binafsi nawakubalu sana mpo kama wanajeshi
Na Kuna wale civilized, mimi nipo hapa
 
Ukigundua umepanda gari tofauti na ulivyoambiwa na mawakala au wapiga debe,unamwambia dereva pleeeeeees kwa usalama wako wahisha gari kituo cha polisi tukaelewane
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…