Bavaria
JF-Expert Member
- Jun 14, 2011
- 53,092
- 53,496
Hiyo bus wanatoza nauli 36K.Yes kipo. Full AC. Wanajitahidi kiasi chake
Kwa hiyo gharama hupati cha maana zaidi ya choo.
Hizo ni levels za semi luxury.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiyo bus wanatoza nauli 36K.Yes kipo. Full AC. Wanajitahidi kiasi chake
Kwa umbali uleule kwenye ndege kuna Economy, Business na First Class.marxlups na FRANC THE GREAT ni kweli kabisa Luxury ni anasa. Kwann ni anasa?
Hizo huduma zinazopatikana ni muhimu kwa binadamu lakini zinatolewa wap? Basi ni kwa ajili ya kusafiri na hata hizo huduma zikikosekana safari utafika tu.
Waliweka hizo kama anasa tu za kufanya safari ivutie au ufurahie bila kuchoka. Tunaita anasa zinapokuwa kwenye basi sababu sio mahali pake.
Kuna watu wamesha-normalize povery na kuwa sehemu ya maisha yao.Mkuu Kibosho1 kuna usemi unasema "what is luxury to you is necessary to me" sijui kama umewahi kuusikia, nilitoa mfano hapo awali nikasema kuna enzi fulani hapa nchini ilikuwa ukienda kununua radio cassette dukani unaambiwa hiyo ni anasa, ukivaa suti, miwani na tai unaambiwa unafanya anasa, ukiwa na TV na saloon car unaambiwa unafanya anasa, sasa kitu kuita anasa kinatategemeana na mtu anayekihitaji na kwa kukidhi hitaji gani
Miaka kama mitatu nyuma niliwahi panda shabiby luxury kabisa.hapo namba 5 hasa kwenye Super Champion yaani kuna zile muvi za kuhadithiwa na DJ kama mpira maarufu maeneo ya Tandale,Maji Matitu, au Buza , zinachosha sana....safari inakuwa ngumu mno.....ukizingatia ukikaa kwenye viti vyao unakunja miguukama upo kwenye choo cha shimo
8. Ukipanda basi ndani kukiwa na wasukuma wawili wakianza kuongea ni makelele mwanzo mwisho.....huwezi hata kuongea na simu tena mpaka walale
Ni tatizo kubwa sana, konda anashindwa kujua tabia za mteja wa luxury na wa ordinary?Miaka kama mitatu nyuma niliwahi panda shabiby luxury kabisa.
Wakaweka hizo movies.
Niliwadharau sana toka siku hiyo.
Kuna watu wameshazoea maisha magumu ya matesomateso kwao hayo ndio maisha ya kawaida. Watu Kama hao walishajikatia tamaa miaka mingi sana 😂😂, Wala usibishane nae we muelewe tu upite kushoto ukicheka kimoyomoyoKama mtu anasema kuwa na choo ni anasa unamwelewaje
Ni kweli kabisa, wao tafsiri ya choo ni choo cha shimo, kuchamba kwa nyasi na kiwe na pazia la guniaKuna watu wameshazoea maisha magumu ya matesomateso kwao hayo ndio maisha ya kawaida. Watu Kama hao walishajikatia tamaa miaka mingi sana 😂😂, Wala usibishane nae we muelewe tu upite kushoto ukicheka kimoyomoyo
Haji Manara kumbe hii ndo ID yako 😀, alafu kumbe we ni mlevi bana aisee 😂😂Mnapanda mabasi au Takataka?
Huku tunasafiri na mabus wiki nzima huchoki, wifi, choo,ndani na pombe zote njiani zipo,kila baada masaa mawili mko fast food mnakula.
Hayo ndio tunaita mabus, sio umepanda Majinja we utafika safari yako ila cha moto utakiona.
Usikasirike mama kuna kitu umejifunza, siku nyingine usiwe 'fala' 😂Hili halizingatiwi. Juzi kati baada ya kukosa magari yote sijui yalikuwa yamekodishwa kwenda wapi nimepigwa vibaya kuambiwa ni luxury nauli 33,000 Arusha Dar.
Kuingia ndani nusu nizimie basi chafu ni kama halijawahi kufanyiwa usafi, halina service yoyote..unaambiwa linaondoka saa 12 lkn linaondoka masaa matano baadae.
Nauli kila mtu kalipa tofauti..
Tupo tuliopigwa 33, wengine 25, 22 hadi.17.
Kundoka Arusha saa 2 asb kufika dar saa 5 usiku.
Osaka Express pambav zenu.
Mamlaka zinapanda vieitee unawaeleza ujinga ganiHii nimeona mara nyingi sana ndio mana kujiuliza,nisije lalamika nikaonekana mshamba. Kweli Luxury haina AC? Ndani ofa chungwa 1 tu!!🤔 Inabidi mamlaka husika zisimamie hichi kiti vizuri mana raia wengi hawajui. Wengi wanaju ni upya wa basi
Aisee hivi hawa watu Kongwa wana shida gani lakini?Walishakitia plaster watu walikosa ustaarabu, fikiria mtu ametoka Kongwa anajichamba kwa kutumia ukurasa wa kitabu au daftari, choo kitaacha kuziba, nani atakuwa anashinda huko chooni kutoa shule!!!
Naona sasa unanunua ugomvi, mada itabadilika sasaiviNi kweli.
Ni kwasababu mikoa wanayosafiri hakuna luxury buses.
Kwao vyoo ni haramu wanapenda vichakaniAisee hivi hawa watu Kongwa wana shida gani lakini?
Basi akili zao hazipo sawasawaKwao vyoo ni haramu wanapenda vichakani
Hapo sasa ndio penyewe sio unakaa huku shingo imeinamia mbele maana siti ipo wima
Abiria wanatofautiana (target market)marxlups na FRANC THE GREAT ni kweli kabisa Luxury ni anasa. Kwann ni anasa?
Hizo huduma zinazopatikana ni muhimu kwa binadamu lakini zinatolewa wap? Basi ni kwa ajili ya kusafiri na hata hizo huduma zikikosekana safari utafika tu.
Waliweka hizo kama anasa tu za kufanya safari ivutie au ufurahie bila kuchoka. Tunaita anasa zinapokuwa kwenye basi sababu sio mahali pake.
Bora mabasi hayo yasiwepo maana akipanda abiria kwa kongwa wamezoea kutawazia magunzi ya mahindi
Ukigundua umepanda gari tofauti na ulivyoambiwa na mawakala au wapiga debe,unamwambia dereva pleeeeeees kwa usalama wako wahisha gari kituo cha polisi tukaelewaneView attachment 1780996
1. Je ni hizo huduma hapo ☝️ au ni upya wa basi?
2. Basi la zamani lenye vigezo hivyo huu au basi lolote jipya?
Ikitokea huduma tajwa hapo ikakosekana kwenye gari na kiwango cha nauli umelipia luxury abiria anasaidiwaje au achukue hatua gani?.
SUMATRA wanatumia kigezo gani kugawa haya madaraja?
Wajuvi tusaidiane hapo☝️