AlhamduliLlah nipo salama salmin. Bi Samia Suluhu kaniibua tena.
Umerudi kivingine kwani wengi walidhania wewe ni wa kilemba kumbe wa barakashia!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
AlhamduliLlah nipo salama salmin. Bi Samia Suluhu kaniibua tena.
Read between the lines na uangalie hitimisho ujibu hilo swali la mwisho siyo kupayukaHujui halafu unasema havina maana?Wakati unakiri hujui??
Jina halina maana yoyote katika uongozi wa nchi bali sifa za mtu binafsi,weledi, uadilifu, ubunifu, uaminifu, uchapakazi na mengine kama hayo. Sijui majina ya Magufuli yalikuwa na uhusiano gani na utendaji wake. Nadhani mleta mada anataka kupromoti imani yake ya kiarabu.
Uarabu si imani. Kusema "Uarabu" ni kama kusema "Uswahili", Uswahili ni imani?Jina halina maana yoyote katika uongozi wa nchi bali sifa za mtu binafsi,weledi, uadilifu, ubunifu, uaminifu, uchapakazi na mengine kama hayo. Sijui majina ya Magufuli yalikuwa na uhusiano gani na utendaji wake. Nadhani mleta mada anataka kupromoti imani yake ya kiarabu.
Mara kadhaa jina limesadifu maisha ya mtu na Kama huamin watafute wakina Shida, tatizo na wengine wenye majina hayo utajifunza kitu au jisomee Haya majina tusiwape newborn (watoto)Jina halina maana yoyote katika uongozi wa nchi bali sifa za mtu binafsi,weledi, uadilifu, ubunifu, uaminifu, uchapakazi na mengine kama hayo. Sijui majina ya Magufuli yalikuwa na uhusiano gani na utendaji wake. Nadhani mleta mada anataka kupromoti imani yake ya kiarabu.
Uislam ni uarabu uliofichwa kwenye dini sawa na uzungu ulivyofichwa kwenye ukristo. Ndiyo maana hata waswahili kwa upumbavu wao wanakwenda jangwani eti ni sehemu takatifu wakati utakatifu uko kila mahali duniani kulingana na wanaoishi pale. Kama kungekuwa na maeneo matakatifu basi yangukuwa Afrika. Kwangu uislam ni uarabu maana hata quran inasema tumewashushia dini kwa kiarabu ili muielewe. Kuna wamakonde hapo? Yesu naye anasema hakuja bali makabila 12 ya israel na si yote. Hapo msukuma upo?Uarabu si imani. Kusema "Uarabu" ni kamakama kusema "Uswahili", Uswahili ni imani?
Unajidai kuuponda Uarabu huku unajiita Mstaarabu. Unafahamu maana ya neno "ustaarabu"?
Wewe Ustadhati Faiza na Mzee Mohamed Said hapa JF forum nawapongeza sana kwa Propaganda za kidini na kutaka kuligawa Taifa
Naona mmetoka mafichoni sasa mnaanza kuhubiri udini kama kawaida yenu
Ahaaa nilijua tu sasa utakuja kwa kasi baada ya miaka mitano kujificha chini ya utawala wa JPM, Sasa umekuja kueneza Propaganda na itikadi kali za kidini kama kawaida yako
Huu ni mwanzo tu Mama Faiza naona mvua yenyewe tunasubiri
Ni wakati mtaanza tena kushinikiza mahakama ya kadhi kama wakati wa JK
Ni wakati Mama asipokuwa makini Nyaraka kali na za onyo zitaanza kutembezwa toka CCT, Tec na Vatican
Ndio maana JK aliamua kuziba masikio na kusafiri tu kila siku maana nyumbani ilikuwa Wengine Nyaraka Wengine Tunataka Mahakama ya kadhi
Tutashuhudia mengi
Karibu tena ukhty.AlhamduliLlah nipo salama salmin. Bi Samia Suluhu kaniibua tena.
OkeySalama bro. Ntakuchek PM
Hapo ndipo watu kama wewe mnanishangaza. Mnatoa majibu msiokuwa na yakini nayo, mnaota tu au ndio mnavyadanganyana.Uislam ni uarabu uliofichwa kwenye dini sawa na uzungu ulivyofichwa kwenye ukristo. Ndiyo maana hata waswahili kwa upumbavu wao wanakwenda jangwani eti ni sehemu takatifu wakati utakatifu uko kila mahali duniani kulingana na wanaoishi pale. Kama kungekuwa na maeneo matakatifu basi yangukuwa Afrika. Kwangu uislam ni uarabu maana hata quran inasema tumewashushia dini kwa kiarabu ili muielewe. Kuna wamakonde hapo? Yesu naye anasema hakuja bali makabila 12 ya israel na si yote. Hapo msukuma upo?
Kabisa ni upuuzi tuu.Tunataka matokeo siyo majina hapa,,Kuna watu wanaitwa Yesu au Mohammad kaangalie matendo yao ni mafilauni tuJina halina maana yoyote katika uongozi wa nchi bali sifa za mtu binafsi,weledi, uadilifu, ubunifu, uaminifu, uchapakazi na mengine kama hayo. Sijui majina ya Magufuli yalikuwa na uhusiano gani na utendaji wake. Nadhani mleta mada anataka kupromoti imani yake ya kiarabu.
Pengine nikisema " wa baibui au barakashia" utaelewa lizuri!Sijakuelewa kwa " wa kilemba na barakashia "una maanisha nini.
Kweli kabisa, nilighafilika. Unaweza kutuletea maana yake ni jukwaa huru.Hassan mbona hujaliletea maana yake?
Kuna mtu mmoja aliwahi Nipa maana ya majina..
Zinedine yazid Zidane...
It was so beautiful ukipewa maana ya majina yote..
Hassan ni miongoni mwa majina Bora kabisa kimaana. Ni neno au jina lenye asili ya kiarabu ambapo maana yake kwa kiswahili ni "nzuri"Kweli kabisa. Hassan. Naomba malizia wewe, ni jukwaa huru na itapendeza zaidi ukimalizia, habari zikitoka from different sources zinanoga.
Baibui lilitokana na kitambaa kutengenezwa na hariri ambayo imefanana na sana na uzi wa buibui.Pengine nikisema " wa baibui au barakashia" utaelewa lizuri!
Huenda jiwe alimtenga maana huyo ni pro msogaKaribu tena na sana mkuu hapa jukwaani.
Ulipotea na baadhi yetu tunaokujali na tunothamini mchango wako tukaanza patwa na wasiwasi.
Shukran kwa kutufafanulia maana ya jina la rais wetu mpya. Tutegemeeni makubwa kutoka kwake na Allah amuongoze!
mastory ya human inventionsJina la Rais wetu Bi Samia Suluhu limeundwa kutokana na maneno ya Kiarabu.
1) Samia: Maana yake ni msikivu. Neno hili hupatikana hata katika salat za kila siku kwa Waislaam, pale Muislam anaposali, akinyanyuka kwenye rukuu husema "Samia Llahu liman Hamida". maana yake, Ni "Allah humsikia mwenye kumhimidi".
2) Suluhu: Ingawa neno hili linatokana na neno la Kiarabu "Sulh" lakini Kiswahili tunalitumia sana, suluhu kwa maana ya kukubaliana yaishe kwa amani na si kwa ugomvi.
Mfanya Suluhu mara nyingi huwa ni anaeheshimika na pande zote mbili, msikivu, mwenye hekima na asiependelea.
Tutegemee mema sana kutoka Kwa bi Samia Suluhu.
Ma Shaa Allah.
Mbona unawaza pafupi sana maaana yake inatusaidia nni ss kwenye ujenzi wa taifa???Jina la Rais wetu Bi Samia Suluhu limeundwa kutokana na maneno ya Kiarabu.
1) Samia: Maana yake ni msikivu. Neno hili hupatikana hata katika salat za kila siku kwa Waislaam, pale Muislam anaposali, akinyanyuka kwenye rukuu husema "Samia Llahu liman Hamida". maana yake, Ni "Allah humsikia mwenye kumhimidi".
2) Suluhu: Ingawa neno hili linatokana na neno la Kiarabu "Sulh" lakini Kiswahili tunalitumia sana, suluhu kwa maana ya kukubaliana yaishe kwa amani na si kwa ugomvi.
Mfanya Suluhu mara nyingi huwa ni anaeheshimika na pande zote mbili, msikivu, mwenye hekima na asiependelea.
Tutegemee mema sana kutoka Kwa bi Samia Suluhu.
Ma Shaa Allah.