Maana ya Jina la Rais wa Tanzania, Samia Suluhu

 
Uarabu si imani. Kusema "Uarabu" ni kama kusema "Uswahili", Uswahili ni imani?

Unajidai kuuponda Uarabu huku unajiita Mstaarabu. Unafahamu maana ya neno "ustaarabu"?
 
Mara kadhaa jina limesadifu maisha ya mtu na Kama huamin watafute wakina Shida, tatizo na wengine wenye majina hayo utajifunza kitu au jisomee Haya majina tusiwape newborn (watoto)
 
Uarabu si imani. Kusema "Uarabu" ni kamakama kusema "Uswahili", Uswahili ni imani?

Unajidai kuuponda Uarabu huku unajiita Mstaarabu. Unafahamu maana ya neno "ustaarabu"?
Uislam ni uarabu uliofichwa kwenye dini sawa na uzungu ulivyofichwa kwenye ukristo. Ndiyo maana hata waswahili kwa upumbavu wao wanakwenda jangwani eti ni sehemu takatifu wakati utakatifu uko kila mahali duniani kulingana na wanaoishi pale. Kama kungekuwa na maeneo matakatifu basi yangukuwa Afrika. Kwangu uislam ni uarabu maana hata quran inasema tumewashushia dini kwa kiarabu ili muielewe. Kuna wamakonde hapo? Yesu naye anasema hakuja bali makabila 12 ya israel na si yote. Hapo msukuma upo?
 


Hizo Nyaraka za Tec na Vatican zilikuwa wapi
Wakati watu wanatekwa na kuuwawa?
Wakati siasa inapigwa marufuku??
 
Hapo ndipo watu kama wewe mnanishangaza. Mnatoa majibu msiokuwa na yakini nayo, mnaota tu au ndio mnavyadanganyana.

Waraabu wote duniani hawafiki hata asilimia 25 ya Waisla.m Na ingekuwa Uarabu ndio Uislam basi Waarabu wote wangekuwa Waislam.

Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
 
Kabisa ni upuuzi tuu.Tunataka matokeo siyo majina hapa,,Kuna watu wanaitwa Yesu au Mohammad kaangalie matendo yao ni mafilauni tu
 
Kweli kabisa. Hassan. Naomba malizia wewe, ni jukwaa huru na itapendeza zaidi ukimalizia, habari zikitoka from different sources zinanoga.
Hassan ni miongoni mwa majina Bora kabisa kimaana. Ni neno au jina lenye asili ya kiarabu ambapo maana yake kwa kiswahili ni "nzuri"

Hassan= Nzuri

Maana ya Hassan kijina ni "Mtenda mema"

Kwahiyo kama majina ya mtu husadifu sifa zake, na yana athari katika mambo yake basi Mheshimiwa rais Mama yetu Samia Suluhu Hassan ni mwenye jina Bora kabisa lenye maana nzuri mno.
 
Pengine nikisema " wa baibui au barakashia" utaelewa lizuri!
Baibui lilitokana na kitambaa kutengenezwa na hariri ambayo imefanana na sana na uzi wa buibui.

Barakashia ni aina ya mshono na sataili ya kofia aliokuwa anatumia Seyyid Said Barghash, aliyewahi kuwa mtawala wa Zanzibar.

Huyo mtu inadhihirika kuwa Ma shaa Allah alikuwa ni mtu mbunifu sana na ndio maana mpaka leo kofia alizobuni zinatajika na zimekuwa ni jina la kawaida, na jina ala chuo kikuu cha kwanza Afrika Mashariki alilotoa alipojenga chuo hicho hapo ambapo sasa panajulikana kama Ikulu ya Dar Es Salaam, mpaka leo limehama kutoka chuo kikuu kilichobadilishwa na Mjerumani kuwa nyumba ya Governor wake mpaka kuwa ni jina la jiji kubwa sana.
 
Karibu tena na sana mkuu hapa jukwaani.

Ulipotea na baadhi yetu tunaokujali na tunothamini mchango wako tukaanza patwa na wasiwasi.

Shukran kwa kutufafanulia maana ya jina la rais wetu mpya. Tutegemeeni makubwa kutoka kwake na Allah amuongoze!
Huenda jiwe alimtenga maana huyo ni pro msoga

Sent from my Nokia 8.1 using JamiiForums mobile app
 
mastory ya human inventions
 
Mbona unawaza pafupi sana maaana yake inatusaidia nni ss kwenye ujenzi wa taifa???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…