Maana ya Jina la Rais wa Tanzania, Samia Suluhu

Uarabu ulizaa imani, wakati mwingine ni vigumu sana kuvitenganisha hivyo viwili.
Uarabu si imani. Kusema "Uarabu" ni kama kusema "Uswahili", Uswahili ni imani?

Unajidai kuuponda Uarabu huku unajiita Mstaarabu. Unafahamu maana ya neno "ustaarabu"?
 
Moyo umeshtuka kukuona.
 

Kwa kweli hata Wakenya walijua hili..........

 
Hassan mbona hujaliletea maana yake?

Kuna mtu mmoja aliwahi Nipa maana ya majina..

Zinedine yazid Zidane...
It was so beautiful ukipewa maana ya majina yote..
Hawawezi kukupa maana hawana maslahi nalo .

Unless Hadi afe ndio utazisikia sifa zake.

Sent from my TECNO P703 using JamiiForums mobile app
 
ahahaha,karibu bibi!
tulikumisije,dah!
karibu uendelee kutufunza Kiswahili!
Muda wakuandika kwa uhuru ndyo umekwisha hivyo,mwenye Kiswahili chake amerudi!
 
Wewe mkuu ulitulizwa na mikwara ya marehemu nini?Maana ulipotea ghafla
 
Aisee nimefurahi kuona bandiko lako hapa jukwaani karibu sana Faizafoxy tunahitaji kujifunza zaidi kutoka kwako.
 
Acha mambo yako hebu tumkaribishe tena, jukwaa lilimmiss sana huyu Bibie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…