Maana ya Mwanamke Bikra, Kuwa na Mahusiano/Kuoa Mwanamke Bikra

Acha kudanganya vijana wadogo kuwa wasioe wanawake ambao hawana bikra. Wewe umewatoa bikra wangap na bado umewaoa wote?

Unaweza oa mwanamke bikra lakini asikupende vile vile. Akitokea kidume na akamsugua sawa saws ndo basi waachwa.

Ukisema tuoe bikra hao wengine unataka waolewe na kina nani? Wengine walibakwa, wengine wali rubuniwa na wengine walitaka wenyewe.

Omba Mungu akujalie upate mwanamke mwenye hofu ya Mungu. Katika vigezo vya kuoa mke bora ambavyo ni 4. Kuna dini, nasabu yake(familia yao), mali yake na uzuri wake. Sijaona sehemu ilipo andikwa uwoe mwanamke bikra ndio maana kuna kuachika na kuna talaka vilevile.

Unaweza oa bikra na akawa malaya wa kutupa. Unaweza oa mwanamke asiye na bikra na akawa mke bora kwako.

Kitu cha kuzingatia hapo ni mwanamke mwenye mtoto, bond yao ni ya kipekee na mwanaume aliye mzalisha. Haijalishi wawe wamegombana au la. Labda iwe mmoja wa mzazi wa huyo mtoto amefariki au hayupo mahala hapo ndio uta kuwa na amani.

BIKRA SIO KIGEZO CHA MKE BORA
 
Shida yao kubwa huwa ni ya kisaikolojia zaidi,otherwise ni wanawake kama wengine.Wanakuwa na maumivu/majeraha ya kutendwa,lakini bado wanahitaji wanaume wa kuwaoa,unaweza usilione hili mwanzoni ila ukiendelea kuishi naye utagundua,mara nyingi yuko very defensive akijihami yeye na mwanae/wanae,huwa hawaamini kwamba utampenda kwa dhati kwani ana kule kuamini kuwa wanaume wote ndio wale wale,hili hasa linawapata wale waliotoswa muda mrefu.Maisha yao ni usiri wa kufichaficha mambo sana akihangaika kumfanyia mtoto vitu vyake tofauti na unavyofanya wewe,kuna kasoro ndogo ndogo nyingi ambazo ukifanikiwa kuzirekebisha mwanzoni hazitakuletea shida baadaye...
 
Maaan..this is deep[emoji119][emoji119]
And sad truth.
 
Mkuu naunga mkono 107% ila ili la Bikra mtihani kidogo dunia yasasa kwawapata Hawa mabikra sidhani Kama nilahisi labda Kama unatafuta ugomvi nawana harakati kwavitoto vyamiaka14 uko mashuleni,maana mwsho utaishia jela.Ili wimbi la single mother linazd kuwa kubwa Sana nawengi niwale ambao uzur wao waliupa nafasi yakusumbua waowaji nakuwapelekea Six-pack,Sharobaro,wazee wavijisenti,MaHb,watu maalufu maeneo yao nk.Me mwenyewe nakampeni yakuwaongezea hao Single mother idadi yawototo wao.maana nishaumizwa kabla inabdi namm ntafute wanyonge wangu ninyonge.
 
Huyu jamaa hata mm namshangaa, labda akitaka bikra aende umasaini ambako wanachumbia kichanga na akifika miaka mitano unamhamishia kwa wazazi Wa mwanaume. Huko ndio anaweza kupata bikra
 
Daaaah. Aisee nineoa single mother. Sasa uzi kama huu unakuwa kama unanihukunu huvi kweli mwanae ndio kipaumbele chake. Eeeeh Mungu niongize katika njia salama ,
Ameen.
Mkuu hamna kitu kama hicho asikutie wasiwasi ndg yangu..

Mpende mkeo ishi naye kwa amani, sio kila single mama walizaa kwakuwa ni Malaya hapana. Hata hao anaowasema bikra ni tatzo tena tatzo kubwa sana maana wameyajulia mapenzi ukubwani na akionja nje hashikiki.
 
Huku sasa ni kunyanyasana aisee[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Unaharibu sasa, hakuna mtu ambaye anakuwa tatizo kwa sababu tu ni single mother au bikra...kama mtu anaweza kuwa tatizo basi ni yeye binafsi tu na mashetani yake
 
wanaume wa miaka hii ndio wanashida, ila kama utakuwa mwanaume dizaini ya magufuri hata hawatakupa shida hao viumbe.....msaidizi wako hawezi shindana na wewe..tuliza kichwa KIPIGO KIPO JUU YA MPUMBAVU..USIKUBALI UCHEZEWE UKIWA BADO KIJANA NGUVU ZIPO, PIA USIJE UKAAMINI KUNA HAKI SAWA HAPA DUNIANI KATI YA ME & KE

Mwanaume jitambue acha uoga...simama kwa zamu yako
 
Unaharibu sasa, hakuna mtu ambaye anakuwa tatizo kwa sababu tu ni single mother au bikra...kama mtu anaweza kuwa tatizo basi ni yeye binafsi tu na mashetani yake
Aaah! Kumbe naharibu, nilikuwa najaribu kumuelewesha jamaa maana kuna sehemu anajenga sana Imani akijua kuko salama lakn kumbe si salama.
 
Hapana Ila nawasemea maana kuna wanaume humu wamepigwa matukio huko basi wanajumuisha wote wapo hivyo, sio vizuri kabsa maana kuna masingo faza wanatabia mbovu mbovu kushinda mnaowaita single maza
wewe ni singo maza
 
Thanks for your advice. πŸ™πŸ™πŸ™
 
John Doe, my mind put windows to the group of single mothers, let us assume they are single, then marry them
 
Mimi kama Mimi bado nina nguvu rijali shababi ya nini kuoa mtu ambae ana watoto as long as Mimi ninao uwezo wa kutunga mimba alaaah
 
Ninakubaliana na uzi wako lakini sidhani kwamba wote waliowachukua wanawake ambao siyo bikira wanasumbua. Waliopata wanawake bikira watuletee marejesho yao kama kweli ndoa zao zipo vizuri. Ninachojua kwa wakati huu kupata mwanamke mwema ni bahati tu maana ninaona ndoa nyingi zinavyosumbua.
 
good point. mjadala closed
 
Mke wangu nilimuoa kutoka kwa mwanaume mwingine ambaye waliachana baada ya tafrani kadhaa.

Tuna mwaka wa 12 sasa kwenye ndoa hatujawahi peleka kesi kwa wazee wala kumkuta na shida yeyote.

Bikra sio kigezo ni personality ya mtu tuu.
 
N kwl kaka
 
Kama na wewe ulikuwa bikra kipindi mnaoana na mkeo, basi hongera maana ndoa yenu itanyooka sana isiyo na mikosi (kwa wenye imani ya dini lakini).
Lakini kama wewe haukuwa bikra (yaani tiari ulishatembea na wanawake wengine) basi hapo hakuna ulicho save maana kama ni damu ya zinaa tiari unayo na umeiambukiza kwa mkeo kwa hiyo spiritually nothing you saved.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…