Maana ya Mwanamke Bikra, Kuwa na Mahusiano/Kuoa Mwanamke Bikra

Maana ya Mwanamke Bikra, Kuwa na Mahusiano/Kuoa Mwanamke Bikra

Abee, nimefika.
Yangu ilitolewa na kijana ambaye naye ilikua siku yake ya kwanza kula tunda, ilikua kama movie ya kuchekesha tu. Hakuna aliyepata raha siku hiyo 😂 😂 😂 😂
Vyema kabisaa kwa ushuhuda malidhawa.Mara zote hata mimi sijawahi Furahia ina kera sana. Mnakuwa kama mpo vitani wakati ni raha.

Ila jamaa hakuwa ndo anaanza la sivyo asingeweza😂😂
 
Back
Top Bottom