Maana ya Mwanamke Bikra, Kuwa na Mahusiano/Kuoa Mwanamke Bikra

Maana ya Mwanamke Bikra, Kuwa na Mahusiano/Kuoa Mwanamke Bikra

Makubwa hivi unajua lengo langu nini
Ukiolewa na mwenye bikra .
1. Hupata raha hana nuksi labda yakuzaliwa na hana marohoo
2. Mnapata watoto wenye afya tele
3. Hadi akija mpata mchepuko mshafikia hatua yakulea
4. Hutokuwa napressure kama ataenda kumla mdadq kwanza kwa ile aibu so kwa muda mtaishi kwa amani atakuona wewe upo juu .
HASARA ZA KUWA NA MWANAUME ALIYETUMIKA
Mnapata watoto wasio na afya
Kila saa unawasiwasi kama umechukuliwa na mtu halafu anazungukia wanawake kama vile bwana afya au sensa . Hapiti mtu . Bado na yale maroho yawanawake wote nitabu hadi basi .

Kweli naogopa
Mapepo tena!

Sasa mwenzangu, mbona unachanganya mambo mawili kwa pamoja?

Ulokole na naniliu wapi na wapi, naona hautaki raha wewe!

Mwanaume bikra kiuhalisia atakuwa bado ni mtoto huyo, akikua hauwezi mpata bikra, aheri wanawake waweza kuwepo.
 
Bado cjapata mkuu, ila mama ako ameniahidi ajira ya kumkojolesha.
Duuuh mama huyu huyu kiongoz?
Uanaona kijana usivyo na adabu
Utasugua sana bench huwez kupata ajira kwa matusi haya
 
Mapepo tena!

Sasa mwenzangu, mbona unachanganya mambo mawili kwa pamoja?

Ulokole na naniliu wapi na wapi, naona hautaki raha wewe!

Mwanaume bikra kiuhalisia atakuwa bado ni mtoto huyo, akikua hauwezi mpata bikra, aheri wanawake waweza kuwepo.
Nahisi hujui kitu kinaitwa pure
 
Duuuh mama huyu huyu kiongoz?
Uanaona kijana usivyo na adabu
Utasugua sana bench huwez kupata ajira kwa matusi haya
Ungeanza kuwa na adabu ww kwanza, kila ukiona comment yangu lazima uzungumzie khs hy kazi ya TBC, unakuwa kama mtoto wa kike anayetaka kusuguliwa bhana.
Jiheshimu.
 
Habari wadau, niseme tu Moja ya kitu kinachoniumiza na nilifanya moyo wangu utatulia ni kukutana na mwanamke bikra na kumtoa bikra, katika ujana wangu nimebahatika kuoata wanawake wawili bikra ila sijufikia hatua ya kuwatoa bikra zao , wakwanza nilichoka kumshawishi wapiki alikataa kabisa kufanya tendo,
Uwa nikisikia sifa za mabikra kama vile : anakuganda na hakusahau hata iweje uwa natamani sana pia kwenye purukushani za kumbikiri uwa natamani niweze kuexperience
 
Hakuna formula mkuu, kuna mabinti wengine ni waoga wengine wajasiri hivyo kila mmoja ana formula yake.Kaa ukijua siyo rahisi na inakera sana kuibanjua mkuu. zaidi ya yote hayo nimuite Mshangazi & Mshangazi dot com na Mshangazi mdogomdogo watuambie wao zilitolewaje ?
Abee, nimefika.
Yangu ilitolewa na kijana ambaye naye ilikua siku yake ya kwanza kula tunda, ilikua kama movie ya kuchekesha tu. Hakuna aliyepata raha siku hiyo 😂 😂 😂 😂
 
Back
Top Bottom