Maana ya Mwanamke Bikra, Kuwa na Mahusiano/Kuoa Mwanamke Bikra

Vipi umemkagua ukakuta marunda yapo?
Ukikuta mwanamke 25+ ni bikra just marunda hakuna. Jisifie sasa kumbe watu walisha kura tope sana
Marunda ndo nini??Kura tope ndo nini?? Embu toa ujinga hapa!! Bikra hoyeeee
 
Wanawake wengine wapuuz kweli...kuna mmoja aliniambia yake imetoka kwa kucheza rede na kuchota maji visimani hahahh.
 
Mkuuu hao wanawake HAWAPO HUKU JF...wanamililiki Nokia za torchi na hawajui kutumia computer.

Sema wewe ndio bikra yako haipo, wenzako wapo kibao humu wanazo, wengi wamenifuata Inbox wakiomba muongozo wa kupata waume,

Wewe kalia smart yako hiyo wakati papuchi yako ni ya batani
 
Manzese tumewakosea nini lakini ?
 
Joka jeusi. Naomba kujua kama wewe ulimuoa huyo mkeoa ukiwa bikra. Kama wewe ulioa ukiwa tyr sio bikra basi acha kujidanganya kuhusu sijui watoto wako kupita kwenye shimbo la mtumba wakati mtungaji wa mimba tyr ashatumika.

Pili bikra sio uaminifu wa mtu awe mwanamke au mwanaume. Uaminifu haihusiani na ubikra. Kama haujamfumania mkeo au kuona dalili za kuchepuka kutoka mkeo basi shukuru tuu.

Kutoka nje ya ndoa ni maamuzi ya mtu mwenyewe na hofu yake kwa Mungu. Wala sio bikra wala kutoa kua bikra.


Cha mwisho usiangalie upande mmoja je wewe huchepuki ?
 
USHAURI;ingefaa jokajesi apitie Uzi uliotofautisha kati ya soul mate na love mate,na siyo kuita wasio bikla ni malaya
 
Bado nawaza sana kuhusu "virginity" ya laiti hawa watoto wetu waliomaliza "lasaba" na wanakwenda "twisheni" wangejua dhamani ya "bikra" wangebana mapaja yao, ila ndio wanatusuliwa kila siku, annnga anakwenda twisheni kumbe gheto kwa mtoto mwenzake, hasa wa sekondari na hii inatokea kwenye shule zenye "praimari na sekondari " sehemu moja!


Huu mNOVEMBA na DISEMBA ndio mwezi wa kutusuliwa [kuvunjwa bikra maana kuna twisheni, ubarikio, maharusi na sherehe nyingine nyingi za wachagga kama kwenda kuhiji]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…