Maana ya Mwanamke Bikra, Kuwa na Mahusiano/Kuoa Mwanamke Bikra


1. Wewe umechanganyikiwa kweli, wewe miaka saba unaiita ndoa changa hivi unaakili sawa sawa. Unafikiri ndoa za siku hizi ni zenu za kuletewa mchumba na harusi ni hapo hapo. Uchumba wenyewe ulikuwa miaka mitano hivyo mke wangu nipo naye kwa zaidi ya miaka 12 bado useme ni changa

2. Ndoa kuyumba ni kutokuoa mwanamke mwema hasa waliooa wasio na bikra, hawa huja kukumbuka mabwana zao wa zamani

3. Mengi ya kujifunza yapo sio kwenye ndoa peke yake

4. Kufika miaka 20 inategemea na uhai tutakaojaliwa ila kuhusu kuachana labda mimi ndio nimzingue lakini hii ni zawadi kutoka kwa Mungu. Kama nisingemuoa akiwa na bikra basi asingekuwa anatoka kwa Mungu bali kwenye jamhuri ya mafisi

Nami nakutakia maisha marefu uwafunze wanao wajitunze sio wawe na tabia za mbwa kulalwa na kila dume
 
πŸ˜€πŸ˜€ mdogo wangu jiheshimu nimegundua umri unakusumbua.

Nimekuwa mpole tu nikuemishe kama mdogo wangu wa mwisho ndoa yake 15yrs

Ukiambiwa umechanganyikiwa unakataa

Mtu anamiaka 30+ Plus unasema umri unamsumbua, wewe kinachokusumbua nimeshakueleza hata ungekuwa na miaka 60 bado akili yako ingekuwa butu
 
Ukweli mchungu.
 
Si kweli, hata kwa wazungu, Princess Diana aliolewa na bikra mbona aligawa?!
 

Ukiambiwa changa maana yake inalinganishwa na ndoa zingine

7 nichanga sana endapo ya mdogo wangu wa mwisho nimiaka 15.

Sijaongelea yangu.
 
Hapo sio kweli Kiongozi, wanawake wenyewe hawajui hata bikira nini. acha kabisa kufikiria mkeo ataliwa, kwani kuliwa ni kawaida yao, hata uweke ulinzi wa namna gani ataliwa hata na Mlinzi wako au muuza genge. Tafuta sababu nyingine moja tu ya kuwa na mke inatosha.
 
Nilikuwa natongoza kufanya tafiti zangu, usione humu nakazania suala la bikra naelewa ninachokisema.
Watu humu waache wabishe na siwalaumu kwa sababu sio kila mtu anaelewa kwa kuambiwa maneno tuu wengine lazima wajifunze kwa njia ngumu
Sawa mkuu, kila la heri.
 
Mkuu mm nmemtoa mtoto wa watu bikra majuzi hv nataka nifanye mpango wa kumuoa chapu.. Vipi nko sehem salama au??
 
Ukiambiwa changa maana yake inalinganishwa na ndoa zingine

7 nichanga sana endapo ya mdogo wangu wa mwisho nimiaka 15.

Sijaongelea yangu.

Kwa hiyo wewe ukiwa na miaka 30 tufanye na mimi nikawa na miaka 20 utasema mimi ni mchanga?

Au ukiwa na uzoefu wa miaka 20 na mwingine akawa na uzoefu wa miaka 10 utasema anauzoefu mchanga?

Unajua maana ya kitu kuitwa kichanga?

Unapoambiwa mtoto mchanga nini kinakuja kwenye akili yako?

Hapo ndio utajua nimelenga nini?
 
Mkuu mm nmemtoa mtoto wa watu bikra majuzi hv nataka nifanye mpango wa kumuoa chapu.. Vipi nko sehem salama au??

Ukishatoa bikra ukamuacha mtoto wa mmtu ni kosa.
Huo unaitwa uharibifu,
Chukua chombo
 

Uchanga maana yake relatively to
 

Mkeo akiwa bikra akichepuka basi jua chanzo ni mwanaume
Mkeo ambaye ni mke wa jamii ambaye hukumkuta bikra hata umfanyie nini lazima atachepuka.

Ni hayo tuu.
 
Nina rafiki angu wa kike ni mjamzito na ameshavishwa pete,, juz kati ex wake alikuja kikaz mkoa ambapo binti yupo, binti kampokea na wamelala wote week nzima nyumba ambayo aliyemvisha pete kampangishia na binti hapo ni mjamzito na ana pete mkononi kumbukeni!! Kwa hali hii niliyoshuhudia siwez oa mwanamke asiye na bikra❌❌!! Mtoa mada yuko sahihi kabisa maana ukioa bikra asilimia za mke wako kuchepuka zinakua ndogo sana kuliko kuoa hizi dubwasha maana muda wwte wakipata chance kinaumana!!
 
Uchanga maana yake relatively to

Lakini inategemea unachokiita uchanga, huwezi sema mtu mwenye uzoefu wa miaka saba kuendelea ni mchanga, labda uwe umelogwa. Hata kwenye maombi ya kazi hicho kigezo hakipo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…