Kizazi Sana [emoji817][emoji109][emoji110][emoji106]Yeye ndiye alikuwa ananipenda, mimi sikuwa nampenda mpaka siku aliponiambia ni bikra. Nikamwambia naomba kuthibitisha huku nikijua ni muongo, kuchungulia vitu vimo.
Nilijifunza kumpenda tangu pale, nikiri kuwa nilikuwa nampenda mwanamke mwingine lakini alikosa kigezo kimoja cha ubikra. Hata hivyo nilifundishwa kuutiisha mwili, akili, na hisia zangu. Hivyo nilizilazimisha hisia zangu kumuelekea mke wangu niliyemkuta bikra. Hapo nilikuwa Udsm, yeye alikuwa st. Marry.
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Embuuu
1.Waarabu waliobuni kumfungia mwananke ndani na kufanya shughuli zote za shoping na kuleta ndani hawakukosea walifanya tafiti nyingi kuhusu tabia za mwanamke zinavyoweza kubadilika gafla kutokana na marafiki na ushawishi mbalimbali
2.Wazee wa zamani waliokuwa wanawafunda vijana kuwa ukitaka kuoa rudi vijijini kwenu ulikozaliwa uoe mwanamke mnaoendana kimila, kiimani na mkidulia mwaweza kurudi vijijini na kuendeleza maisha lakini ninyi unataka msomi ,mwenye hela, anayetumia muda wake mwingi kuuremba Mwili wake, uliyemlokoteza kazini kwenye bar au club kwenye mastarehe
4.Vikoba,vikundi ni hatari kwa ndoa unakuta lidume linajisifu vikundi vya mke wangu vinanisaidia sana weweee!!!!!
For sure waarabu waliona mbali ...Akili ya mwanamke bila usimamizi .. inaweza kufanya maamuzi ya hovyo sana1.Waarabu waliobuni kumfungia mwananke ndani na kufanya shughuli zote za shoping na kuleta ndani hawakukosea walifanya tafiti nyingi kuhusu tabia za mwanamke zinavyoweza kubadilika gafla kutokana na marafiki na ushawishi mbalimbali
2.Wazee wa zamani waliokuwa wanawafunda vijana kuwa ukitaka kuoa rudi vijijini kwenu ulikozaliwa uoe mwanamke mnaoendana kimila, kiimani na mkidulia mwaweza kurudi vijijini na kuendeleza maisha lakini ninyi unataka msomi ,mwenye hela, anayetumia muda wake mwingi kuuremba Mwili wake, uliyemlokoteza kazini kwenye bar au club kwenye mastarehe
4.Vikoba,vikundi ni hatari kwa ndoa unakuta lidume linajisifu vikundi vya mke wangu vinanisaidia sana weweee!!!!!
Mke mwema anatoka kwa Mungu, na kamwe Mungu hawezi kukupa mwanamke asiye na Bikra. Huyo mungu atakuwa mungu wa matope.
Nianze kuwasoma wakati nimeshahitimu na kuoa nimeshaoa?
Akinisapraizi talaka si zipo? Ataolewa mwingine bikra kama alivyokuwa yeye,
Yamekuwa haya tena. Wonders will never end.
Naomba tafsiri mkuu π π
Kwani sheria inasemaje kuhusu mwanamke malaya?
Mwanaume timamu hawezi ishi na mwanamke malaya.
Ukianza umalaya unafukuzwa na wanaume wenye akili timamu bila kujali lolote.
Alafu anaolewa mwingine bikra safi kabisa.
Wakuu kwema!
Watu wengi wamekuwa wanalalamika kuwa kwa nini wake za watu wa siku hizi wengi ni chebweda, yaani maharage ya mbeya maji mara Moja.
Mimi nimekuwa nikitongoza wake za watu kwa muda mrefu sasa, kwa uzoefu wangu, nikitongoza wake za watu 10 basi 9 watanikubalia 1 ndiye atakataa. Wake za watu sio wasumbufu ukishaingia naye kwenye mahusiano, ingawaje sijawahi kulala na mke wa mtu kutokana na miiko yangu binafsi.
Uchunguzi wangu unaonyesha kuwa Sababu kubwa ya Mke wako/wake zetu kuchepuka katika zama hizi ni kwa sababu waliolewa wakiwa hawana bikra. Tayari walishaingia kwenye umalaya.
Hakuna mwanamke aliyeolewa akiwa hana bikra ambaye hatachepuka, ni lazima achepuke tuu.
Lakini ukioa mwanamke mwenye bikra uwezekano wa kutochepuka ni mkubwa zaidi labda usababishe wewe mwenyewe ndio atachepuka.
Lakini hawa wasio na bikra ni costant, umhudumie, umridhishe usimridhishe, uwe na pesa usiwe na pesa, uwe HB au usiwe HB ni lazima achepuke, Yaani huna namna ya kuzuia hilo.
Mwanamke asiye na bikra haoni hatia moyoni mwake pindi anapochepuka, lakini mwanamke aliyeolewa bikra kabla hajachepuka huwa na uoga mwingi mno kwani ndio anajifunza. Kama ilivyo jambo lolote ukilianza huwaa gumu ndivyo kwa mwanamke mwenye aliyeolewa akiwa bikra huona ugumu sana kuchepuka.
Lakini hawa maharage ya Mbeya atachepuka na wala haoni shida.
Kijana, kwa usalama wa ndoa yako, Usithubutu kuoa mwanamke asiye na bikra, utanishukuru baadaye.
Kwa sisi tuliooa tupambane na hali zetu hasa waliooa hao maharage ya mbeya.
Kidokezo;
Mambo ya walawi 21
13Kuhani mkuu aweza tu kumwoa msichana ambaye ni bikira. 14Haruhusiwi kuoa mwanamke mjane, mwanamke asiye bikira, wala kahaba. Ni lazima aoe bikira kutoka watu wake mwenyewe 15asije akawatia unajisi watoto wake mwenyewe. Mimi ndimi Mwenyezi-Mungu niliyemweka wakfu.β
Jokajeusi
Wewe endelea kuzeeka, maana ukizeeka na akili inazeeka.
Sasa umenielewa kwamba changamoto haziishi.
Youngest always differentiate or reverse by integration. No frexibility
Maturity through integrity will resolve solutions through differential equations with two unknown limits
Yote nimaisha.....