Maana ya Mwanamke Bikra, Kuwa na Mahusiano/Kuoa Mwanamke Bikra

BIKIRA SIO ISHU KWA SASA KWANI HATA WANAOLEWA NA BIKRA WANALIWA KAMA NJUGU. MAADILI HAKUN TENA, NDOA NI MTINDO TU WA MAISHA NA SIO KWA UMUHIMU, KAMA MZAZI ANANGONOKA NA MTOTO WAKE AWE WA KIUME AU WA KIKE, KAMA VIONGOZI WA DINI BAADHI WANANGONOKA KAMA WATU WALIOTAKIWA KUAMINIKA NGONO IMEKUWA KAMA KIFUNGUA KINYWA, KWANINI TUULIZIE BIKRA KWA MWANAMKE? HATA WANAUME WANAPASWA KUWA NA BIKRA ILI NDOA IWE SALAMA KAMA NDIO KIGEZO
 

Endelea kujifurahisha
 
Mkuu tufanyaje sasa.. na dunia yenyewe tumeikuta ikiwa hivi hivi. yaani watu kutoa na kutolewa bikra kabla ya ndoa imekuwa (fasheni) mtindo wa maisha
Pia nani wa kulaumiwa kwenye hili swala kati ya mwanaume / mwanamke
 
Mkuu tufanyaje sasa.. na dunia yenyewe tumeikuta ikiwa hivi hivi. yaani watu kutoa na kutolewa bikra kabla ya ndoa imekuwa (fasheni) mtindo wa maisha
Pia nani wa kulaumiwa kwenye hili swala kati ya mwanaume / mwanamke

1. Wazazi.

Bikra ikitolewa kabla ya miaka 18 wazazi ndio chanzo. Wazazi wa siku hizi wengi wehu

2. Mwanamke binafsi
Kama Bikra imetolewa baada ya binti kuwa na miaka 18 basi kosa ni la mwanamke.

Mwanaume hana lawama popote.
Mwanaume ni muwindaji kiasili,
 
Rafiki yangu anasema, Kwahyo bikra sio tabia ni maaamuzi katika kuitunza na sio kila anaetolewa Basi ni Malaya Ila kupoteza bikra Kuna mengi yanayoweza kuchangia

1. Tamaa ya vitu au pesa
2. Umaskini uliokithiri mpaka kupelekea kujiingiza kwenye ngono
3. Makusudi kutafuta kuonja uume
4. Mkumbo wa marafiki au watu wa karibu
5 . Kubakwa
6. Imani na mitazamo ya kimila na kifamilia

Jokajeusi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…