Huyu ajui..Kuna Wanaume wanajua kutongoza na kusifia zaidi yake...Sijui Huku kujiamini KUPITILIZA anakutoa wapi..Kulewa mapenz kubaya sana. Ungefunga mdomo kupunguza aibu. Wachapaji usikute walikuwepo. Byee
Sasa kwanini ulisema anastahili vazi jeupe ikiwa tayari bikra ulishamtoa,unajua maana ya shela jeupeKwa karne hii, simshauri yoyote kuoa kabla hajaangalia yaliyomo yamo.
Nilikagua kabla sijaingia ndoani ili kuepusha usumbufu na kumdhalilisha binti wa watu. Maana kama nisingemkuta nayo ndoa ingevunjika usiku wake na ingekuwa ni aibu kubwa kwani hakuna anayeingia katika mkondo wangu akanichezea alafu akabaki safe
Wewe ufahamu wako unaonekana zero kwenye mambo ya Mungu kabisa,mke wa Daudi Sheba ambae ni mama wa Suleiman alikuwa bikra?je unajua Rahabu kahaba ni mwanamke wa kizazi kilichomleta Yesu?unajua kuna nabii aliambiwa na Mungu akaoe kahaba?yaani wewe kuoa bikra unajiona special sana,ungejua kuna mambo muhimu ya kuhangaika nao ungeachaachana na huo upuuzi ulioushikilia bango.Ni kweli Mke mwema anatoka kwa Mungu, lakini Mungu hawezi kukupa mke asiye na bikra huyo mungu labda wa singeli au vigoma.
Na bado utajuta zaidi ya hapo 😀 😀 😀
Mimi hata ningekuwa mpumbavu vipi siwezi oa mwanamke asiye na bikra, sasa shangaa wewe unayejiona mwerevu unachukua vitu visivyoeleweka
Kesho mapema nipo sinza kwa remmy
Wewe ufahamu wako unaonekana zero kwenye mambo ya Mungu kabisa,mke wa Daudi Sheba ambae ni mama wa Suleiman alikuwa bikra?je unajua Rahabu kahaba ni mwanamke wa kizazi kilichomleta Yesu?unajua kuna nabii aliambiwa na Mungu akaoe kahaba?yaani wewe kuoa bikra unajiona special sana,ungejua kuna mambo muhimu ya kuhangaika nao ungeachaachana na huo upuuzi ulioushikilia bango.
Doooh....kwaiyo hapo unaona ndoa yako Ni Bora Sana...Ndoa yangu inamiaka nane sasa nimeoa 2013 nina mtoto sasa anamiaka 5, unataka nikue mpaka miaka mingapi?
Nina miaka 30+
Wanawake huchepuka na kuzitoa bikira wenyewe, maana watoaji ndiyo hao hao wanao taka kuoa binti wenye bikiraHuwaga wanawake wanachepuka wenyewe tuuuuu, wanaume nooooo, au!??? Si wanaume haohao haoahao haoahao ndio wanawachepusha!??? Naona wanaume wengine mmeanza kuluz memory sasa!!!
Wewe utajifananisha na Daudi pamoja na uzinzi wake,mtu aliyekua anaongea na Mungu utajifananisha nae, ndio alikuwa na wake lakini uliona Mungu anampa maelekezo ya kuoa bikra kama wewe unavyovisha watu kongwa la bikra utafikiri ndio kitu muhimu mwenyezi Mungu aliagiza,usichokijua Mungu aliagiza makuhani ndio waoe bikra na alitoa na sababu sio sababu zako za kijinga unazotoa wewe huku ukiwa mtenda dhambi kama sie wengine.Fika karibu na
Daudi alikuwa mzinzi, hakuwa na mke bali wake
Kwa kauli hii nimeshajua we ni mtu wa namna gani . Watu wazima wataelewa . " mahali popote pale" [emoji38][emoji38][emoji38]Yupo humu mke wangu,
Picha yake sio rahisi kuipata pahali popote pale
Wewe utajifananisha na Daudi pamoja na uzinzi wake,mtu aliyekua anaongea na Mungu utajifananisha nae, ndio alikuwa na wake lakini uliona Mungu anampa maelekezo ya kuoa bikra kama wewe unavyovisha watu kongwa la bikra utafikiri ndio kitu muhimu mwenyezi Mungu aliagiza,usichokijua Mungu aliagiza makuhani ndio waoe bikra na alitoa na sababu sio sababu zako za kijinga unazotoa wewe huku ukiwa mtenda dhambi kama sie wengine.
Na mimi namzoom tu hapa.Wewe Jokajeusi mimi bado sijaona ukonki wako na kama kweli wewe ni mwendawazimu, yani sijaona vizuri kama unajiamini kweli.
Unashindwa kumtambua Mchawi kwa kukaa nae nyumba moja, bado unakua na sito fahamu.
asee naona bado wewe mchanga sana.
Pili unasifia ana akili sana huyo mke kihasi hicho bila sababu za msingi bado.
Niambie unajambo gani jingine umewahi fanya kujionesha kua wewe ni Konki na sio mwepesi mwepesi kama wengine.
Maisha tunayajua vzuri na sisi.
Acha uongo hakuna kitu Kama hichoKumekucha
Enwei
Kuna Dada aliolewa na bikira anatiwa ovyo mpaka na vitoto viendesha boda